Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Lipa mahari ita wahusika wafungishe ndoa ukae na mke
Sherehe kubwa ni anasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sherehe kubwa ni anasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani anataka mchango wa HALI na si mchango wa MALI, usimlishe maneno ahaaaaa...toa mchango wa mawazo mkuuWewe una tsh ngapi!?
Na unataka kufunga ndoa kwa gharama gani!?
Halafu sema harusi ndoa haina gharama
DJ sepetu
Teh!Tutachangia pia zamu ya kulala na mkeo?
Teh!Tutachangia pia zamu ya kulala na mkeo?
Kweli kabisa.Kwa zamu hii za kuisoma namba usipoteze muda wako kufanya harusi, jipange zako kuoa kimya kimya kwa kwenda kanisani au msikitini au bomani na kufunga ndoa bila mbwembwe. Kwa hakika hautajuta kabisa.
Maisha yameshakuwa magumu sana, watu hawana pesa hata ya kula, mbwembwe hazina nafasi tena.
Ungeulizia double tuu shemeji..
Ulichelewa baba ungefunga kipindi cha JK
Kenya watu walifunga ndo ya shi, ngapi vile??Ndoa mbona haina gharama mkuu, nendeni mkafunge ndoa mrudi nyumbani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa zamu hii za kuisoma namba usipoteze muda wako kufanya harusi, jipange zako kuoa kimya kimya kwa kwenda kanisani au msikitini au bomani na kufunga ndoa bila mbwembwe. Kwa hakika hautajuta kabisa.
Maisha yameshakuwa magumu sana, watu hawana pesa hata ya kula, mbwembwe hazina nafasi tena.