Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
- Thread starter
-
- #41
Vp AK naweza kwenda kumsaidia?
Najua hata nikiomba maombi yangu hayawezi mfikia labda tuonane ana kwa ana ndo nitatua tatizo lake.
Hehehehe! Haya mama! Leo AK naona kanizidi kete.pearl saiz
xpin tena nyamaza simu yako yenyewe kila siku haina hela mpaka mm nikupigie?nimekuacha rasmi
wakati nyie mnaongea ongea tu bila matendo, mi tayari nshanunua modem ya Zantel hapa, jioni nampelekea aliendeleze libeneke!
AK utabaki kuwa mesenja tu mpaka mida ya jioni.
Hehehehe! Haya mama! Leo AK naona kanizidi kete.
Simu yangu haaishiwi salio. Nitake radhi tafwazali.
mkuu ruksa kumsaidia lakini uzingatie kuwa yule ni lulu hakanyagwi kwa miguu........ so hakikisha amabaki uncontaminated...............
Hii ni MV Mapenzi, manahodha ni mimi na yeye!!pearl sayz
ah ah ah birigita i love u sana yani,mwagaranyoooooooo
Huyu nyumba ndogo tu! mbona mwenyewe yupo AR na walishakula viapo.hivi harusi lini tena!!😀
hivi harusi lini tena!!😀
Harusi ya nani tena jamani? Yangu mpaka 2012 jiandae mama.
Huyu nyumba ndogo tu! mbona mwenyewe yupo AR na walishakula viapo.
Si unajua katikati ya mwezi leo? PJ hana kitu, na contract ilikuwa inasema ukiwa na shida hizi zitakuwa shida zako mwenyewe!!
Poa kabisa nikiweka pic zinanigomea kule jamn ahh
Hehehe umenichanganya hapo mkuu lol sasa nitamsaidiaje kwa vigezo vigumu kama hivyo?
Huyu nyumba ndogo tu! mbona mwenyewe yupo AR na walishakula viapo.
Si unajua katikati ya mwezi leo? PJ hana kitu, na contract ilikuwa inasema ukiwa na shida hizi zitakuwa shida zako mwenyewe!!
pearl saiz
ah ah ah masa ushidwe kabisa kwani nilikuwa sifanyi kazi?but nitakumiss sana yani inabidi sasa ni konnect hme,unataka kumrusha roho Akili?
Mwambie apokee simu bana inaita tu! Nataka kwenda naye Ngurero week end hii
haya bana...............nendeni kwa Nick kuna samaki wa foil au Matongee!!Mwambie apokee simu bana inaita tu! Nataka kwenda naye Ngulelo week end hii
nina wasiwasi, AK 47 amempa Pearl password..........mapenzi mabaya nyie.pearl saiz
ah ah ah kumbe unakumbuka eeh?but somtimes nyumba ndogo anafaidi sana kuliko nyumba kubwa,si mnaona ma handling ya nyumba ndogo?