Jamani wanaJF me naomba tuanzishe mpango mmoja huu

Yaani ni kazi sana, nikiivisha tu naona nimetua mzigo, sina habari navyo tena hasa sufuria.

Njaa ndio huwa ina niforce nioshe vyombo

Najua...kaka yangu naye yupo katika situation kama hii

Anasema hapendi kuosha vyombo ila kupika anaona sio tabu
Yeye ameamua kuacha kupika kabisa sababu ya uvivu wa kuosha vyombo
 
Watoto wazuri kabisa wenye maadili tunao humu...jaribu kuingi kitumbo tumbo...

Jaribu bahati zako hapa Hawachi Shunie espy Khantwe ledada

Wote hao waifu matiriyo..jitwalie my wife wako.
Daaahhh, nimerusha vocal romantic kwa hao wote ila naona wanaruka tu viunzi.

Nilijaribu kumuiga hayati kwenye vocal zake, nikagonga mwamba pia.

Labda unishauri kingine.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…