Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,060
Mi mwenyewe nahisi naumwa frani hivi amazing, embu nifanyieni huo mpango wa hizo sandarusHahahha Watu Wataumwa Kila Wiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe nahisi naumwa frani hivi amazing, embu nifanyieni huo mpango wa hizo sandarusHahahha Watu Wataumwa Kila Wiki
Naona unatoa ujuzi...
Wahi huku inbox kabla T na kale kababu hawajajaMie nipo tuu jamani
Nakuhamu
Hahaha ww ugonjwa wako naujua ujue naumwa mmNa mie naumwa
Hii thread imekuwa ya wagonjwa sasaNa mie naumwa
Superstar wako amekujibu nn etiYaani mimi ndiyo hamnimiss kabisa kweli?
Nimewakosea nini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo jambo mtu ukiingia kichwa kichwa utaishia kujutia, ebu ngoja kwanza....
Yaani ni kazi sana, nikiivisha tu naona nimetua mzigo, sina habari navyo tena hasa sufuria.
Njaa ndio huwa ina niforce nioshe vyombo
Unasemaaaa
Daaahhh, nimerusha vocal romantic kwa hao wote ila naona wanaruka tu viunzi.
Mambo dada.Unasemaaaa
Njoo basi jamaniWahi huku inbox kabla T na kale kababu hawajaja
Nimeanza lini mm kukuonea aibu jamani
ndg ushawah kuhudum kwenye kamati ya roho mbaya?
Poa mkuu shikamooMambo dada.
Una nyota ya updri.Daaahhh, nimerusha vocal romantic kwa hao wote ila naona wanaruka tu viunzi.
Nilijaribu kumuiga hayati kwenye vocal zake, nikagonga mwamba pia.
Labda unishauri kingine.....
Hivi hukumbuki kweeelii...