Jamani, wasanii wetu wakongwe vipi?

Jamani, wasanii wetu wakongwe vipi?

TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
5,771
Reaction score
17,849
Nimeona videos na kusikia nyimbo mpya za wasanii wenye majina makubwa bongo kama kina Matonya, AY, Mr. Blue, Prof Jay, Jaffarai, Amani, TID na kadhalika na sijapenda nilichokiona. Kwa ufupi ni kwamba, akija mtu ambae hawafahamu wasanii hawa, atadhani ni ma andagraundi ambao labda hizo ni singo zao za kwanza! Tatizo ni nini?
 
Kila kitu na wakati wake, wakongwe time yao imepita now we are talking bongoflava.
 
Baadhi ya nyimbo zipo you tube! Pia, anahitajika apatikane mtu mjasiliamali anayeweza kuzirekodi hizo kama soko lipo. Pia, iwapo vitengo vya utamaduni na mambo ya kale wataona umihimu wake watarekodi tu.

Cha msingi kwa sasa, nyimbo za zamani bado zinaendelea kupigwa, ni ubunifu tu wa kurekodi.
 
Back
Top Bottom