TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Nimeona videos na kusikia nyimbo mpya za wasanii wenye majina makubwa bongo kama kina Matonya, AY, Mr. Blue, Prof Jay, Jaffarai, Amani, TID na kadhalika na sijapenda nilichokiona. Kwa ufupi ni kwamba, akija mtu ambae hawafahamu wasanii hawa, atadhani ni ma andagraundi ambao labda hizo ni singo zao za kwanza! Tatizo ni nini?