Jamani watu Wa Dar hamna kazi ya kufanya

Sorry Sana kwa wale ntakao wagusa leo nilikua napitia video huko YouTube nikakutana na video moja ikimuonyesha ZARI akiwa anasubiriwa na maandamano ya watu eneo la mlimani City chaajabu ni Kwamba hata wanaume walikua miongoni mwao waliokuwa wakimngoja Kwa kwel sio tabia nzuri fanyeni vitu vya maana
Weka io video plz
 
We mwenyewe kufuatilia habari za Zari huna tofauti na wanaume wa dar
 
Back
Top Bottom