Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Wanaume wa Dar mnaitwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka io video plzSorry Sana kwa wale ntakao wagusa leo nilikua napitia video huko YouTube nikakutana na video moja ikimuonyesha ZARI akiwa anasubiriwa na maandamano ya watu eneo la mlimani City chaajabu ni Kwamba hata wanaume walikua miongoni mwao waliokuwa wakimngoja Kwa kwel sio tabia nzuri fanyeni vitu vya maana
Sorry Sana kwa wale ntakao wagusa leo nilikua napitia video huko YouTube nikakutana na video moja ikimuonyesha ZARI akiwa anasubiriwa na maandamano ya watu eneo la mlimani City chaajabu ni Kwamba hata wanaume walikua miongoni mwao waliokuwa wakimngoja Kwa kwel sio tabia nzuri fanyeni vitu vya maana
Kama wanaume wadar wenyewe ndio hawa unategemea nini!??