Jamani wazazi wapeni watoto mitaji hata ya kubetia

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Wazazi toeni pesa za pension ili tuweze kujiajiri huku tukisubiri mchongo itiki , mtu amesom shahada ya uhandisi wa Mitambo hana mchongo bado, hajateuliwa bado,

Watu tuna idea za kufanya ila ndio hvyo hatuna asset ya ku offer kama collateral ili kusecure mikopo kweny Taasis za pesa, sasa imefikia wakt watoto wanajiteka kuwashinikiza wazazi kutoa pesa.

IMG_20240904_170835.jpg
 
View attachment 3087009
Dah!...kijana kaenda mbali mno....
 
aisee hatari kwa kweli wazazi kwa sasa watoto wapewe mitaji hela ya kwenda chuo bora uumpe tuu akabeti
 
Back
Top Bottom