Jamani yani siamini kama wizara ya afya haijanichagua..!

Udakitari si kama uana siasa. Huyu jamaa mnampatia moyo bure wakati yeye kwenye hayo masomo ni kilaza. Nasimamia ushauri wangu, tafuta kozi rahisi.
 
Udakitari si kama uana siasa. Huyu jamaa mnampatia moyo bure wakati yeye kwenye hayo masomo ni kilaza. Nasimamia ushauri wangu, tafuta kozi rahisi.

Acha ushamba kilaza wewe...huyo anaenda kusoma diploma...na kwa taarifa yako muhas kuna kozi kibaooo za diploma...acha dharau na kebehi...tuulize tunaokijua chuo sio kuropoka tu
 
Ngoja nikuambie..usikate tamaa umeomba kozi gani pale muhas.??? Ninavyoamini kwa second selection diploma utapata cha muhimu ni ufuatiliaji cz watu wengine huwa hawaripoti chuo so nafasi zenu mnapewa nyie..nenda chuoni fuatilia kila kukicha na utafanikiwa...na ukitoka pale kusoma umewiva na ajira ht hutopata shida...cha muhimu fatilia
 
Tafuta kozi nyingine za maana za kusoma, maisha sio huko tu. Hao wenyewe waliosoma mambo hayo ndio kila siku migomo na malalamiko ya maslahi duni, wewe unataka kujipeleka hukohuko! Panua fikra zako, maisha ni zaidi ya hizo chemistry na biology zako. Angalia viwanja vingine achana na hizo shida.
 
Acha ushamba kilaza wewe...huyo anaenda kusoma diploma...na kwa taarifa yako muhas kuna kozi kibaooo za diploma...acha dharau na kebehi...tuulize tunaokijua chuo sio kuropoka tu

Nadhani wewe ni miongoni mwa wanafiki. Mnampotezea muda jamaa kwa kumuaminisha aendelee kukomaa na vitu ambavyo vinaonekana kushindikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…