BOB OS
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 3,440
- 6,881
pole sana I know that feeling bro.Kwel life isnt fair!Nimepata MUHAS bt nimekoswa kbs fedha kidogo ya kufanyiwa regis na leo ndo mwsho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana I know that feeling bro.Kwel life isnt fair!Nimepata MUHAS bt nimekoswa kbs fedha kidogo ya kufanyiwa regis na leo ndo mwsho!
we usimtishe mwenzio coz kwa pas hizo anaweza fanya kitu ktk uwanja wa afya na akaokoa taifa .hakuna coz rahis we ----- !!!afaulu vp na shule hiz za kata ????huenda ndo wa kwanza camp kwao na bidii yake ipo poa ishu ni mazingira ya usomaj na sio matokeo .je hujui kuwa zahanat kibao mabush zina nesi mmoja tu na anafanya kaz zote hapo kituoni yaan udaktar , unesi na vipimo??upo nchi gan weye !??mwanangu komaa na dream yko mungu atajibu coz hata usipoenda muhimbil hku bush unahitajika sana uweze okoa taifa kwa elimu hiyo tu uliyonayo .....komaa sanna mpaka kieleweke !!!!
Udakitari si kama uana siasa. Huyu jamaa mnampatia moyo bure wakati yeye kwenye hayo masomo ni kilaza. Nasimamia ushauri wangu, tafuta kozi rahisi.
Niliomba muhimbili diploma sikuchaguliwa,niliomba wizara hawajanichagua,nimejaribu kutuma maombi ya pili muhimbili private sponsership form 4 physics C,Biology C,chemistry C na form 6 physics f,biology E,chemistry E,..Yaani sijui kama muhimbili watanichukua kwa awamu ya pili!na muhimbili competition ni kubwa?je nifanyeje mimi?wadau naomba msaada wa mawazo please!thanx!

Acha ushamba kilaza wewe...huyo anaenda kusoma diploma...na kwa taarifa yako muhas kuna kozi kibaooo za diploma...acha dharau na kebehi...tuulize tunaokijua chuo sio kuropoka tu