Jamani yupo wapi "First Lady" Josephine Mushumbushi (Mrs Dr Slaa)

Jamani yupo wapi "First Lady" Josephine Mushumbushi (Mrs Dr Slaa)

Mzee Slaa alimpora yule Mushumbusi kwa Port Manager pale Bandarini baada ya kupata msukosuko kazini

nae alipopata Msukosuko wa kurudishwa kutoka Ubalozini Mzee Slaa nae akaporwa Mushumbusi

Hasira za Slaa kwa Serikai zina mambo mengi sana ikiwemo hili la kusababisha kupoteza kazi na Hawara kwa wakati mmoja


Kwa kifupi alienae Mushumbusi hivi sasa anatakiwa ailinde sana kazi yake, maana akipoteza kazi automatically na Mushumbusi anapotea
 
Upo sahihi, tulitengana na wife nikijua kabisa bado tunapendana , na mpaka Leo nampenda.
Asilimia 90 ya watu wanaopeana talaka baada ya miaka yaani wakikua Huwa wanatamani kurudiaana sema tu ndo hivyo waliachana kwa aibu
Lakini kimoyo bado Wana ule muunganiko thus,kanisa halipendi watu waachane bale watengane kwa muda keep distance kwa muda wa kujitafakari then ile pressure ikishaipita warudiane
 
Gold digger lile
Babu aliruhusu tamaa za mwili zitawale kichwa...
 
Back
Top Bottom