Jamani yupo wapi "First Lady" Josephine Mushumbushi (Mrs Dr Slaa)

Jamani yupo wapi "First Lady" Josephine Mushumbushi (Mrs Dr Slaa)

Rose Kamili unamjua vizuri? Ukiona mtu kaachana na mkewe wakati mwingine analazimika tu sio kwa kupenda. Josephine Mushumbusi ndo alisababisha CHADEMA walaanike kwa kutojali damu yake aliyoimwaga kwenye vurugu za tarehe 05/01/2011 kule Arusha wakati akitetea chama. Kitendo cha CHADEMA kumtukana hawara wa Josephine kiliiimaliza CHADEMA hadi leo.

Mimi zamani nilikuwa siamini kama laana ya hawara wa mtu inaweza kukupata ila kwa jinsi CHADEMA ilivyovurugwa nimekuja kuamini laana ya hawara wa Slaa inafanya kazi kwa CHADEMA.
Kuna muda huwa hutumii akili kutoa neno.Unasukumwa kimtazamo wako utokao nafsini mwako tu.
 
Huyo hapo huyu mtoto itakua ni wa slaa
images - 2023-08-26T150615.561.jpg
 
Mzee Slaa alimpora yule Mushumbusi kwa Port Manager pale Bandarini baada ya kupata msukosuko kazini

nae alipopata Msukosuko wa kurudishwa kutoka Ubalozini Mzee Slaa nae akaporwa Mushumbusi

Hasira za Slaa kwa Serikai zina mambo mengi sana ikiwemo hili la kusababisha kupoteza kazi na Hawara kwa wakati mmoja


Kwa kifupi alienae Mushumbusi hivi sasa anatakiwa ailinde sana kazi yake, maana akipoteza kazi automatically na Mushumbusi anapotea
Picha bas ya mashombusi story zake sio mchezo?
 
Picha bas ya mashombusi story zake sio mchezo?
Muhaya Muhasibu, toto toto kweli halafu mixer mjanja mjanja

aliposikia mikakati ya 2010 ya kuingia Ikulu akajua anaenda kuwa first lady akamtema Jamaa yake don wa Bandari akamvaa Padri wa zamani, akajifanya Chadema kuliko Mbowe na Mzee Mtei
hadi akapasuliwa na Ffu na picha zake Zika trend,Chadema wakajichanganya wakampa kazi ya kusimamia mchakato wa kupata Accounting package ya kuendesha operation na reporting ya fedha ya Chama, akawatandika Mamilion

Namfananisha na Simbaulanga wa enzi zetu aliekomba mamilion ya fedha za NBC miaka ya mwisho ya 1980s
 
Back
Top Bottom