Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
athee wewe itakuwa tunajuana nimemaliza darasa la saba hapo mwaka 1997 si hapo karibu na vatican hotel?k Mamake! CCM, nilisoma hapa, 90s, waalimu wali kuwa wanajari kuuza uji na visheti tu! Wakijichokea, wanawaambia wanafunzi waendelee na mapumziko mpaka muda Wa kutoka