Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
athee wewe itakuwa tunajuana nimemaliza darasa la saba hapo mwaka 1997 si hapo karibu na vatican hotel?k Mamake! CCM, nilisoma hapa, 90s, waalimu wali kuwa wanajari kuuza uji na visheti tu! Wakijichokea, wanawaambia wanafunzi waendelee na mapumziko mpaka muda Wa kutoka
athee wewe itakuwa tunajuana nimemaliza darasa la saba hapo mwaka 1997 si hapo karibu na vatican hotelk Mamake! CCM, nilisoma hapa, 90s, waalimu wali kuwa wanajari kuuza uji na visheti tu! Wakijichokea, wanawaambia wanafunzi waendelee na mapumziko mpaka muda Wa kutoka
usimtoe ila hakikisha akitoka hapo sio anaanza kupuyanga inatakiwa umpeleke america bongo nyosoHalafu kuna jamaa humu linataka nimtoe mwanangu feza nimepokea hii shule.
athee wewe itakuwa tunajuana nimemaliza darasa la saba hapo mwaka 1997 si hapo karibu na vatican hotel
usimtoe ila hakikisha akitoka hapo sio anaanza kupuyanga inatakiwa umpeleke america bongo nyoso
Shule za mjini ziko hivi.
Huko vijijini hali mbaya sana
Sinza Kwa Wajanja
Mbona mna makelele hivi, hela iliyopo serikalini ni kwa ajili ya goli la Mama na si vinginevyo, naomba tuelewane.
Kikubwa Tuendelee na pambio za kusifu, kuabudu na kujipendekeza.