Jambazi mwanamke Mkenya akamatwa akiiba kanisani Arusha

Jambazi mwanamke Mkenya akamatwa akiiba kanisani Arusha

Njoo pia huku Kenya utembee mitaani urokote walemavu wenu kwa Kila jiji almost 20,000
Na majambazi wauza bangi🇹🇿🚮mpaka South Afrika muko hovyo hivo💩Nani hawajui?????
Bangi naona imefika kwenye oblongata
 
Me ni mtanzania ila usitumie ushetani wa huyu mama kuwadharau wakenya wote no..kila nchi kuna watu wa ovyo sana!!iwe fundisho kwa majambazi wanaowaza kuiba kanisani badala ya kutumia hiyo fursa kutubu dhambi zake.
 
Mimi Sina shida na Tz it's just anger with people like Joto la jiwe!anakuanga na Chuki na Kenya Sana,everyday matusi,kutuombea mabaya
I wonder if Kenya fails would he be happy then??
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Me ni mtanzania ila usitumie ushetani wa huyu mama kuwadharau wakenya wote no..kila nchi kuna watu wa ovyo sana!!iwe fundisho kwa majambazi wanaowaza kuiba kanisani badala ya kutumia hiyo fursa kutubu dhambi zake.
Mkuu, waulize hao wakenya wanavyotupakazia kwasababu ya watanzania wachache huko Kenya wanaopelekwa kuomba barabarani, kwani hawajui kwamba sio watanzania wote.

Iwapo watanzania huko kwao wanawapa wenyewe pesa, hawatumii nguvu Wala kumuibia mtu lakini bado wanatusema vibaya, je ikitokea mtanzania akafanya ujambazi huko Kenya, hizo kelele zao tutaziweza kweli?, Hawa jamaa wasikie tu hivyo hivyo, sio binadamu wazuri
 
Back
Top Bottom