Bro hata mimi nimeumia wamsamehe tu. Iyo midume ndo yaswekwe ndani.Dah mdada wa Kikuyu jinsi kiswahili chake. Jamani wamsamehe tu. Haya ni mapito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro hata mimi nimeumia wamsamehe tu. Iyo midume ndo yaswekwe ndani.Dah mdada wa Kikuyu jinsi kiswahili chake. Jamani wamsamehe tu. Haya ni mapito
Dah mdada wa Kikuyu jinsi kiswahili chake. Jamani wamsamehe tu. Haya ni mapito
MY TAKE: Hii ndio hasara ya kuwa na majirani wa hovyo
Samaki mmoja akioza...
Nyang'au wote ndio walivyo.😂😂😂
WWE😂🍻msameheni na aolewe kwa jelaMii mwanzoni nikafikiri joto la jiwe anataniaa. Kumbe ni dada yake Kachengcheng.
Unateyea uovu wewe mbwiga?Njoo pia huku Kenya utembee mitaani urokote walemavu wenu kwa Kila jiji almost 20,000
Na majambazi wauza bangi🇹🇿🚮mpaka South Afrika muko hovyo hivo💩Nani hawajui?????
sitetei nachukia wizi kwanza Tena Sana,Ila nivibaya sana Jambazi mmoja kulinganishwa na Wakenya wote!Unateyea uovu wewe mbwiga?
Mbona ninyi mnatusema kwa baadhi ya watanzania ambao wapo huko Kama ombaomba?[emoji23][emoji23].sitetei nachukia wizi kwanza Tena Sana,Ila nivibaya sana Jambazi mmoja kulinganishwa na Wakenya wote!
Ata huku Kenya tumepata mpaka magaidi Waarabu Ila hatuwezi kusema eti Waarabu wote ni magaidi!
Ukinasa gaidi Peleka Jela ukihurumia shauri yako
ukitaka kuona Watanzania wengi out of Tanzania kuja Kenya,mumejaa uku sidanganyiMbona ninyi mnatusema kwa baadhi ya watanzania ambao wapo huko Kama ombaomba?[emoji23][emoji23].
Wao kwanza hawafanyi kitendo chochote cha uhalifu, mnawapa pesa ninyi wenyewe kwa kupenda, lakini bado mnatusema vibaya, mkiguswa ninyi mnalalamika,l. By the way, hao wakenya majambazi ni wengi sio huyo pekee
Halafu wanajivunia kuongea lugha sahihi ya mkoloniDah mdada wa Kikuyu jinsi kiswahili chake. Jamani wamsamehe tu. Haya ni mapito
MY TAKE: Hii ndio hasara ya kuwa na majirani wa hovyo
Mbona hao ombaomba ambao ni hopeless group mnawasema vibaya na kutusimanga?, Kumbuka Tanzania ndiyo nchi yenye kuhifadhi wakenya wengi na kampuni nyingi za Kenya kuliko nchi yoyote hapa Africa, mbona hatuwasemi?, Mkituchokoza tutajibu kwa nguvu zoteukitaka kuona Watanzania wengi out of Tanzania kuja Kenya,mumejaa uku sidanganyi
Na Kila mtanzania na kazi yake!hukosi majambazi pia Ila pia haturopokagi tunawaonaga Kama wakenya
shida ni hao walemavu hawaendi maeneo zengine za ghettos ama maeneo ya raia wa kawaidaMbona hao ombaomba ambao ni hopeless group mnawasema vibaya na kutusimanga?, Kumbuka Tanzania ndiyo nchi yenye kuhifadhi wakenya wengi na kampuni nyingi za Kenya kuliko nchi yoyote hapa Africa, mbona hatuwasemi?, Mkituchokoza tutajibu kwa nguvu zote
shida ni hao walemavu hawaendi maeneo zengine za ghettos ama maeneo ya raia wa kawaidaMbona hao ombaomba ambao ni hopeless group mnawasema vibaya na kutusimanga?, Kumbuka Tanzania ndiyo nchi yenye kuhifadhi wakenya wengi na kampuni nyingi za Kenya kuliko nchi yoyote hapa Africa, mbona hatuwasemi?, Mkituchokoza tutajibu kwa nguvu zote
Kwahiyo kati ya ombaomba na jambazi anayeua na kuiba Mali za watu, nani ni tatizo zaidi, au kwasababu mnataka kuwaridhisha wazungu?shida ni hao walemavu hawaendi maeneo zengine za ghettos ama maeneo ya raia wa kawaida
Wanaenda straight to the CBD Yani town katikati kwenyewe[emoji38]wazungu ama investors wa Nchi zengine wanatushangaa tunawachilia aje walemavu wetu,mpaka wanaletaga noma sometimes hawaelewi hao walemavu wako kazini[emoji108]
Wwe ungetaka pia DAR CBD iwe hivyo??
huyo na 007 ni warogi huwajui., alafu waongo na propagandist, hawapendi ukweli..., facts ndio dawa ya mtanzania zezeta..,Mimi Sina shida na Tz it's just anger with people like Joto la jiwe!anakuanga na Chuki na Kenya Sana,everyday matusi,kutuombea mabaya
I wonder if Kenya fails would he be happy then??
kwa walemavu tuna huruma sana si Wakenya👌Kwahiyo kati ya ombaomba na jambazi anayeua na kuiba Mali za watu, nani ni tatizo zaidi, au kwasababu mnataka kuwaridhisha wazungu?
Kwanza hamna sababu yoyote ya kulalamika, kwasababu ni jukumu la serikali yenu kuwadhibiti hao ombaomba, uzembe wa serikali yenu kushindwa kazi isiwe sababu ya kutulaumu, mbona sisi tumefanikiwa kuwadhibiti hao ombaomba na majambazi toka Kenya?