joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #41
Mje mjifunze kwetu jinsi tupivyofanikiwa kuwadhibiti ombaomba mitaani.kwa walemavu tuna huruma sana si Wakenya[emoji108]
Lakini kwa majambazi si nimekushow ukishika Peleka Jela
Ata huku Kenya majambazi wengine ni watz tumepeleka jela,na hatupayuki,kwasababu ujambazi unaweza fanywa na yeyeote yule,ukishika Peleka Jela anakofaa??
Alafu ulitaka tufanyeje hao walemavu??tuwapeleke jela??ama tunyonge??ama tuwatupe bahari???
We Ungependa serikali ya Kenya iwafanyie aje hao walemavu sababu wengi ni watz wanasaka pesa??[emoji108]
Ninyi hamna huruma ni watu wanafiki Sana, Sasa Kama mna huruma kwanini mnawakashifu na kutusema vibaya?.Kenyanaongoza kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe, hiyo huruma mbona msifanyiane wenyewe kwa wenyewe kwanza?, Charity begins at home