Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

unamjua huyo jamaa? aisee inabidi tukae meza moja tunywe bia ngongo, halafu banjoo mwenyewe siku hizi joka la kibisa tu, hajitokezi mjini, "Anless pub" ndio bar yake kubwa, mle ndani si unajua palivyo?
tumekunywa naye sana hapo miaka hiyo...na vitoto vya IAA-tulikua tuna vi-import kuja hapo maeneo ...tukitoka hapo tunaenda Sarafina kula kitimoto choma.

I real miss Arusha,
 
Back
Top Bottom