Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,765
- 6,726
Ameuawa?Hatimae banjo kafa kifo kibaya...katolewa macho
Ameuawa?Hatimae banjo kafa kifo kibaya...katolewa macho
Ufafanuzi wa kina juu ya hiiHatimae banjo kafa kifo kibaya...katolewa macho
Ndio kafa tenaa hahaAisee huyu jamaa ni hatari sana cjui kwanini anaachiwa kuwa hai hadi muda huu.
Anza kusoma mwanzo wa Uzi 2013Ufafanuzi wa kina juu ya hii
Yap wamemalizana nae banaa. Kondoaa hukooAmeuawa?
DuhIla sasa hivi litauwawa!
Na kweli wamesema mfanyabiashara mkubwa wa madini amekufa. Kumbe alikuwa jambazi ndio nimejua kupitia huu Uzi wa miaka 13 iliyopitaNgoja afe utasikia "Billionea mwingine afariki Arusha", "mazishi yake yagharimu millioni mia mbili", "jeneza lake linatumia android..."
Soma uzi mzima mkuuUfafanuzi wa kina juu ya hii
Mkuu duniani hakuna haki...!!
Haki itapatikana mbinguni pekee
TAYARI HUYO ULIE SEMA MPUMBAVU RIP , KIFO KIBAYA INAVYOSEMEKANA!!Ngongo & paradiso
Kwa kweli weekend hii ningewapata mlipo ningewapatia chochote kile mnachotumia.
Nasema hivyo kwa sababu ya kuwa makini na yote haya mliyopost katika thread hii. Huyu Banjoo nakwambia siyo kwamba ni mbabe Mi naweza kusema ni mpumba.vu tu kwani hata elimu yenyewe nafikiri ni ya darasa la tano tu ila kinachomsaidia ni uwenyeji tu ila nawaambia siku huyu Mungu mwenye uwezo wa yote akisema no mambo yake huyu yatakua mwisho.
Ngongo paradiso
Kuna huyu mwingine anayeishi hapo Ngarenaro corner maarufu kwa kuitwa Jumanne Mjusi naye namsikia ni soo very danger na ana group lake la vijana ambayo ndiyo sasa hivi anataka kunyanyua kichwa hapa jijini. Habari yake mnaisikiaje? Maana Mi naona hata akipelekwa gerezani leo kesho unamwona mtaani tu.
we Pdidy si ulikua unalia kule kwenye uzi wako mbona huku unacheka😅Ndio kafa tenaa haha
Kajikuta analia mwenyewe, kila akigeuka wenzio vicheko, akasema ya nini kumaliza machozi peke yangu akajipangusa akaangusha kicheko.we Pdidy si ulikua unalia kule kwenye uzi wako mbona huku unacheka😅
Aisee mie pia , kumbe ni jambazi sugu haswaa issue hapa uko INSTAGRAM, FB, TICK TOK nk hawana taarifa hii wanajua watekaji wako kazini!!! ikizingatiwa alikuwa mshirika wa karibu sema kuna sehemu ameyakanyaga!!!Na kweli wamesema mfanyabiashara mkubwa wa madini amekufa. Kumbe alikuwa jambazi ndio nimejua kupitia huu Uzi wa miaka 13 iliyopita
hebu usinichekeshe mimi😅😅😅 naumwa kichwaKajikuta analia mwenyewe, kila akigeuka wenzio vicheko, akasema ya nini kumaliza machozi peke yangu akajipangusa akaangusha kicheko.
Niliwahi kuona movie flani hivi majambazi sugu waliohukumiwa vifungo vilefu walipewa project maalum (ya kuua watu flani bila kuacha alama) walipewa kazi hiyo na serikali ya nchi hiyo kwa makubaliano maalum kwamba wakiweza kuimaliza kazi vizuri wanaachiwa huru na kufutiwa kesi zao."Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje.
Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote.
Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.
Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.
Swali: Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?
Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.
Hahahahhahaha nimecheka hyo wee p didywe Pdidy si ulikua unalia kule kwenye uzi wako mbona huku unacheka😅
ndo kajiita hivyo jamni😅Hahahahhahaha nimecheka hyo wee p didy
Niliwahi kuona movie flani hivi majambazi sugu waliohukumiwa vifungo vilefu walipewa project maalum (ya kuua watu flani bila kuacha alama) walipewa kazi hiyo na serikali ya nchi hiyo kwa makubaliano maalum kwamba wakiweza kuimaliza kazi vizuri wanaachiwa huru na kufutiwa kesi zao.
Nimesahau jina la hiyo movie ila nikiwaza matukio makubwa ya utekaji na mauaji kwenye hii nchi nakumbuka matukio ya Ile movie.
Thendo kajiita hivyo jamni😅
Weee pdiddy....jinsi ulivyomuita🤣🤣🤣🤣 p didy haeleweki mara acheke marando kajiita hivyo jamni😅
Limekufa leo"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje.
Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote.
Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.
Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.
Swali: Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?
Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.