Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Mimi nafikiri ukiacha michongo pia kuna USHIRIKINA unatumika na majambazi, wakikamatwa hawakai rupango muda mrefu wanatoka...sababu hata huku dar wengi wanakamatwa wanaachiwa.
 
Dah! Umenikumbusha mbali! Ina maana Damme hayupo jela? Mara ya mwisho nilisikia yupo jela.

Vipi dogo lake, Haji nafikiri; naye nilisikia yupo jela?!?

Damme alikuwa noma sana...Sinza Makaburini, Palestina, Madukani hadi Mugabe, yeye ndiye alikuwa mtabe!

Wakati nipo sekondari WuTamba, jamaa ukikutanae njiani ukirudi nyumbani, lazima umtoe hata jiti! Duh!

Yupo hapo segerea!

Wewe uliwahi kusikia hata kesi yake? jiulize kwa nini
 
"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje.

Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote.

Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.

Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.

Swali: Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?

Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.
nashangaa na lile jambazi linaitwa shetani lilikamatwa kwa mbwembwe saivi lipo mtaani linapeta,linakaa karibu na chuo cha kilimo cha masanja.
 
Nashukuru...uzuri ni kwamba huwa miminatoa kazvu wanapiga mikelele na matusi kibao halafu mwisho wa siku wanakuja lala ktk ukweli bila jijua..Akili zao zipo kwa wachaga..wanshangaa wachaga kutoa majambazi bora....?hii inathibitisha kuwa wachaga si saizi yao badala ya kuwahuchukia wajifunze......Wachaga watawapiga bao kila iadaza ni mchaga tuu kuamua.....

Niliweka thread hado mods wakang`aka ila kila kitu nikiwekacho si muda kinathibitika...Ndio maana naona fahari kuwa ita hawa wavivu..na wapuuzi chasaka, kyakasa, sichomba, shimalando......watakuwa dhaifu kata kwenye kufa.....

Hawajapa upeo wa kujifunza kwanini kila kitu mchaga akikigusa kinakuwa GOLD.....subiri waingie ktk sports...hata muhuni Alex Massawe jambazi alieyufanya mpira part time kuingia Simba walimuona......

Tunasikia kila siku Amakocha wanalia wabongo hawafundishiki......mimi naongeaze hata hawawezi jifunza.

Du kaka Nicholas punguza jazba kidogo basi, alafu kaka wewe mdengereko? maana huu mwandiko!!!
 
A
"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje.

Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote.

Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.

Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.

Swali: Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?

Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.
Achana nae arusha sasahivi ina wenyewe ajaribu aone kama hutasikia alikuwa anaruka kwenye gari la polisi walipomkamata
 
Mfumo wetu wa utoaji Haki unahamaisha uharifu;
1. Polisi na ndugu zao Mahakama kama huna kitu inakula kwako.
2. Kesi hata iwe na ushahidi wa "Watertight" bado mwisho wa siku wingi wa Mpunga ndo uta amua Kesi.
3. Ukisikia Wananchi wenye hasira kali, fahamu kuwa Mama yao ni Polisi na Baba yao ni Mahakama
 
Duh hii ni zaidi ya Kioja labda ni uzumbukuku
Jamaa aligawa sana misimbazi...
kama wanavyofanyaga the kijani kugawa misosi,kofia,leso,gari za bure kwenda kwenye mikutano na kuwazawadia wanaohudhuria,fiesta za diamond.
 
Back
Top Bottom