LTK
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 267
- 99
Jifunze kuandika vizuri mkuu.
Narudia tena kusema ya kwamba majambazi wengi huko kaskazini ni wachaga. Tukianza na Masawe au unataka niwataje wote?
Green usikimbie kwenye mada. Huko mererani ni wafugaji?
Narudia tena kusema ya kwamba majambazi wengi huko kaskazini ni wachaga. Tukianza na Masawe au unataka niwataje wote?
Green usikimbie kwenye mada. Huko mererani ni wafugaji?
Sijui unasema kipi hapa.....kukosea.....au kutochukiwa wachaga....na huo wingi unaosema wachaga wengi majambazi huko Kaskazini,...jamii za wafugaji kaskazini nyingi ni waporaji by nature..kwa hiyo makabila yote ni majambazi ya asili kuiba mifugo...Wachaga wanye ujambazi wnaajifunza just like any other person anayejifunga bangi, unga etc.