hatari 😅😅😅The
Weee pdiddy....jinsi ulivyomuita🤣🤣🤣🤣 p didy haeleweki mara acheke mara
Yametimia leo Feb 19.2026 kutoka kwenye gari landcruiser amazon hadi mwili kukutwa poriniIla sasa hivi litauwawa!
😂😂😂 wamemwita mfanyabiashara maarufu wa madini ya TanzaniteNgoja afe utasikia "Billionea mwingine afariki Arusha", "mazishi yake yagharimu millioni mia mbili", "jeneza lake linatumia android..."
Hatimae amefikiwaAisee huyu jamaa ni hatari sana cjui kwanini anaachiwa kuwa hai hadi muda huu.
Itakuwa ameingia kwenye anga za wababe, kakanyaga jumlisha hivyoHata hivyo ni kwamba ajaingia tu kwenye anga za baadhi ya watu maana angeshaondolewa fasta
Wamempeleka kwao kondoa...familia inalia inasema baba Yao hakuwa dhulumati na amekatiliwa uhai wake...mafia walimrudisha uranginiKakutana na wababe wenzake wamemdedisha sasa na akatupwa Barekooo Kondoa
Ama kweli lisemwalo lipoIla sasa hivi litauwawa!
Ila sasa hivi litauwawa!
Wamemrudisha na atazikwa kwake hapa hapa ArushaBora wamerudisha hiyo takataka kwao. Ardhi ya Arusha ingemtapika kwa mauaji aliyowafanyia watu wa Arusha.
Job done! A Ur happy?mmh arusha noma.sijui hao polisi kazi zao ni nini?
Wamemuua tayariAisee huyu jamaa ni hatari sana cjui kwanini anaachiwa kuwa hai hadi muda huu.
tumekunywa naye sana hapo miaka hiyo...na vitoto vya IAA-tulikua tuna vi-import kuja hapo maeneo ...tukitoka hapo tunaenda Sarafina kula kitimoto choma.unamjua huyo jamaa? aisee inabidi tukae meza moja tunywe bia ngongo, halafu banjoo mwenyewe siku hizi joka la kibisa tu, hajitokezi mjini, "Anless pub" ndio bar yake kubwa, mle ndani si unajua palivyo?
Duuh!Ila sasa hivi litauwawa!
Ivi upo online 😂😂😂😂😂Ngoja afe utasikia "Billionea mwingine afariki Arusha", "mazishi yake yagharimu millioni mia mbili", "jeneza lake linatumia android..."
😂😂Ngoja afe utasikia "Billionea mwingine afariki Arusha", "mazishi yake yagharimu millioni mia mbili", "jeneza lake linatumia android..."
Yametimia.Ila sasa hivi litauwawa!