Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hakuna karma.Kuna watu watataka kumsingizia baadhi ya watu kumbe ni karma cc secretarybird
Kwenye supu.Wewe uliponea chupuchupu ulipowekewa vipande vya chupa kwenye msosi.
After 13 yearsIla sasa hivi litauwawa!
JfNa kweli wamesema mfanyabiashara mkubwa wa madini amekufa. Kumbe alikuwa jambazi ndio nimejua kupitia huu Uzi wa miaka 13 iliyopita
DahIla sasa hivi litauwawa!
Mkuu ulitisha! naamini alisoma hii thread ila kiburi. Njomalii alikuwa over confidence. Hasa dili zake za kushirikiana na polisi. Na mambo ya October 2025 ndo yalikuwa ya mwisho kwakeIla sasa hivi litauwawa!
Leo chadema wanamlilia raia mwema kadhulimiwa uhai ππ,Aisee huyu jamaa ni hatari sana cjui kwanini anaachiwa kuwa hai hadi muda huu.
Mkuu tujuze, huyu Banjoo alikuwa na ushiriki wa namna gani kwenye October 29?Mkuu ulitisha! naamini alisoma hii thread ila kiburi. Njomalii alikuwa over confidence. Hasa dili zake za kushirikiana na polisi. Na mambo ya October 2025 ndo yalikuwa ya mwisho kwake
Huyo alirudi kwao Rwanda miaka mingi sanaIvi upo online πππππ
Mjomba akili umezipeleka sehemu gani?Leo chadema wanamlilia raia mwema kadhulimiwa uhai ππ,
Ila upinzani wa hii nchi
Wewe ndiye tukuulize umepeleka wapi akili. Maana Godbless Lema mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amelaani kufa kwa Banjoo. Hata Brenda Rupia msemaji wa CDM pia ametoa official statement.Mjomba akili umezipeleka sehemu gani?
Inaelekea huyo Banjoo katumika sana na Chadema kuteka na kuua watu halafu kuilamu serikali ndio muhusika. Lema ni jambazi/mwizi wa magari mstaafu inawezekana alikua akimkodisha huyu Banjoo kwenye utekaji na mauaji yao. nawaza tu.Wewe ndiye tukuulize umepeleka wapi akili. Maana Godbless Lema mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amelaani kufa kwa Banjoo. Hata Brenda Rupia msemaji wa CDM pia ametoa official statement.
Mnatetea JAMBAZI??
Kumbe mwamba alikuwa jambawazi!? Duuuh"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje.
Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote.
Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.
Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.
Swali: Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?
Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.
Soma Pia: Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auae kwa upanga hufa kwa upanga''?