enhee huwa anachora akiwa wapi ? endelea......... nataka leo leo tulikamate hili jambazi.. go on...plzBanjoo ni hatari kuliko hata Massawe (Carlos). Ameshamwaga damu za watu wengi sana. Ukipata bahati mbaya ya kupishana naye tayari mwili unakutetemeka.
Mauaji mengi yanayotokea hapa Arusha Banjoo ndiye mchora ramani namna ya kuua. Sijui ni kwa nini Serikali, jeshi la Polisi na watu wa Usalama wapo na wanamjua huyu mtu ni jambazi sugu linaloua bila huruma lakini wanamuangalia tu na hafanywi chochote huku watu wengi wakiendelea kuteketea kwa mikono yake.
Ndiyo sababu wananchi wanazidi kukosa imani na vyombo vyetu vya dola kila kukicha.
[/QUOTE]Usikute unakaa karibu na yule tajiri la maspare ya magari "Denso"
QUOTE=Nyamayao;7333932]kwa mrefu!
Ha ha ha sawa kabisa Nyamayao lakini utamkaji wake huku Arusha utasema Rosee si unajua tena.Ukweli ni kwamba huyu mdada madawa ya kulevya yalimharibu kabisa kuanzia usafi wa mwili ndiyo usiseme kabisa akili nayo imedorora,vipigo vya Sadiki kuanzia kumchoma pasi kwenye mapaja na visu vya mgongoni vimemwondolea uzuri wake wote.
Usiogope! Huyu ni Banjoo ni kiumbe mdogo sana katika nyakati hii ya Digital.
Ha ha ha sawa kabisa Nyamayao lakini utamkaji wake huku Arusha utasema Rosee si unajua tena.Ukweli ni kwamba huyu mdada madawa ya kulevya yalimharibu kabisa kuanzia usafi wa mwili ndiyo usiseme kabisa akili nayo imedorora,vipigo vya Sadiki kuanzia kumchoma pasi kwenye mapaja na visu vya mgongoni vimemwondolea uzuri wake wote.
Mkuu kuna taarifa nimezipata muda c mrefu kuwa banjoo anafanya kazi Tanzanite one sasa kama ni ukweli tusubirie tusikie bomu likilipuka huko tena sio dogo.
Inawezekana kabisa kwa sababu hali yake ya sasa ni njema sana. Ana miliki RAV4 ya kijivu old model na nimemwona akiwa na simu ya kuanzia Tshs Milioni na kuendelea. Tofauti na alipofungwa alikuwa na Mark II ambayo ilichinjwa mara baada ya hukumu ambayo ilitangazwa LIVE kupitia TBC1.

maisha ya vijana wengi yanategemea peak season kwanini mtu anayepata pesa daily wasimuone billionaire....!huyo banjoo mwenyewe naamini akikutana na watoto wa kihuni wa kidar es salaam hana ujanja!I see!!
Kumbe ndio maana kila mchuuzi huko Arusha anaitwa billionaire! Kama Kigali kimoja na simu Galaxy ndio kipimo cha njema basi Matola ni billionaire.
nilikupa kopi ili umkemee huyo mdada mwehu kuharibu jina la kabila kwa kulisifia kwa ujamabazi, ulichofanya na wewe ni kusifu upumbavu huo huo!!! mwendawazimu mkubwa na wewe!!
nilijua unataka nini ndio maana nikajibu hivyo.....Nikachagua route hiyo...kuwa mema au mabaya watu wachukiao wachaga wanahitaji jua ni serious people ktk business.
huyo jamaa wa 7/11 anaitwa Ibra.. ni kweli michezo anayo ila kunguru tu! sio mtu hatari kiivyo..
Jirekebishe katika uandishi wako.
Unaandika kama mtoto wa chekechea kha!
Hakuna anae wachukia wachaga.... Ila majambazi wengi huko kaskazini ni wachaga