Jambo ambalo lilikushangaza na hutolisahau baada ya kujiunga na elimu ya sekondari form 1

Mi nakumbuka siku naripoti tulikuwa wawili na jamaa yangu mmoja kutoka usukumani, sasa mwalimu kutuona akamwambia jamaa(mwanafunzi mwenzangu) " mzazi hii shule yetu ni nzuri sana na wanafunzi wanafaulu vizuri tu, usiwe na wasiwasi na mwanao"
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
kuna wababe walinipa sepetu/spetu nifyekee wakachukua fyekeo langu... UMOJA SEC SCHOOL(mtwara)
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mimi sikumbuki nilishangaa nini pale FEZA boys
Hahahhahha wewe mkuu wazazi wako wamepata hasara yani umesoma feza ata jf ya familia au mtaani kwako umeshindwa kubuni.wakati feza rasilimali zote zipo.
 
Sijakuelewa mkuu hiyo hasara imetoka wapi?

Uzi unauliza ni kitu gani ambacho kilikushangaza na huto kisahau ulipojiunga secondary na mimi nimejibu sikumbuki kilichonishangaza....

Au ulikua unamaana gani mkuu wangu nakusikiliza?
 
Ungeambiwa ukariri kanuni hiyo hiyo kwa lugha ya Kiswahili ungeliweza wewe?

Nguvu ya ueleaji wa gimba ndani ya midia ni sawa na nguvu ya uzito wa kiasi cha midia kilichosogezwa na gimba.

Inaendelea, gimba ikizama nusu au yote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.

.
Nakumbuka mwalimu wa physics alikua ndo yuko speed sana....siku ya tatu tu ya kusoma kwetu tukawa tumeingia ile topic ya ARCHIMENDES PRINCIPLE. (Ni density kama sijasahau)

Sio siri nilishangaa sana yule mzee aliposema eti inatakiwa tumeze gusestensi gote gule gwa Archimendes principle tena gwakingereza.

Yani kwa kifupi nilihisi anajaribu tu kuleta masihara kidogo mule darasani.
 
Ungeambiwa ukariri kanuni hiyo hiyo kwa lugha ya Kiswahili ungeliweza wewe?

Nguvu ya ueleaji wa gimba ndani ya midia ni sawa na nguvu ya uzito wa kiasi cha midia kilichosogezwa na gimba.

Inaendelea, gimba ikizama nusu au yote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aaaaaiiiiiseeee
 
Mimi nakumbuka " in order to complete the double entry system, we debit cash by writing capital and we credit capital by writing cash"

sitakuja kuisahau hii statement mwaka 2001 form one 411 kj ruhuwiko mwl Ndunguru alinichapa sana viboko.
 
Nakuamkia baba
 
Ungeambiwa ukariri kanuni hiyo hiyo kwa lugha ya Kiswahili ungeliweza wewe?

Nguvu ya ueleaji wa gimba ndani ya midia ni sawa na nguvu ya uzito wa kiasi cha midia kilichosogezwa na gimba.

Inaendelea, gimba ikizama nusu au yote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.
Hilo somo kwa kiswahili halifai kabisa ni mvurugano wa hali ya juu.

Kuna siku nilikuwa najiuliza kuhusu hiyo Principle nikasema nilikariri mno embu ngoja nitafute maana yake kwa kiswahili aiseeh kukutana na hiyo ugiligili haki nilishindwa kuendelea kila neno likawa linanivuruga niliishia kujicheka tuu.
 
Sitosahau zile chaki nyeupe pee eti zinaisha kwa kuandikiwa kwenye ubao mweusi tii.

Tumetoka mbali wallah
 
Back
Top Bottom