Jambo ambalo lilikushangaza na hutolisahau baada ya kujiunga na elimu ya sekondari form 1

Hahaha gravitation na rotation of rigid bodies ulimwachia nani asome???[emoji23]
kuna week flan nilishinda chandi ya physics mda wote lkn bado mambo yakawa mseda msedaa.....nikagundua tu kwamba ujanja ni "kukomaa na chemistry and biology....hii physics itanitoa roho""
 
vinakela vimaksi vyake tu kwenye mtihani....

mara 1 mark....mara 1.5 mark....hapo umetoa definition za kutosha
Si bora hapo,ukija kwenye calculation umejipinda na solution yako ndefu ukakosea kidogo mwishoni mwalim anakata yote au anakupa 0.5[emoji23]
 
kuna week flan nilishinda chandi ya physics mda wote lkn bado mambo yakawa mseda msedaa.....nikagundua tu kwamba ujanja ni "kukomaa na chemistry and biology....hii physics itanitoa roho""
Kwa kweli utatoka roho[emoji23] [emoji23] unakomalia kitu kinachanganya akili mpaka kichwa kinauma kwa sabu gani lakini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Me Nilikuwa nimemeza definition ya commerce

Sasa mshawasha ulikuwa kumsubiri teacher wa commerce aje aulize kwanza "what is the meaning of commerce? "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani siku alivyoingia nilifurahi balaa. Nikajikakamua kujibu halafu hata hakunisifia [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Niliishia form one B kipenzi changu,umande na shule kuwa mbali vilinikatisha tamaa
Heee namuonaga dogo ana mavitabu makubwa sijui abort,nelkon,Lambert, university physics, BS, huku mimi kaka yake nina kibanga kampiga mkoloni,juma na uledi,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Me Nilikuwa nimemeza definition ya commerce

Sasa mshawasha ulikuwa kumsubiri teacher wa commerce aje aulize kwanza "what is the meaning of commerce? "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani siku alivyoingia nilifurahi balaa. Nikajikakamua kujibu halafu hata hakunisifia [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Si bora hapo,ukija kwenye calculation umejipinda na solution yako ndefu ukakosea kidogo mwishoni mwalim anakata yote au anakupa 0.5[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah nilikua nachoka sana na zile mambo kwa kweli
 
Back
Top Bottom