sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Ulikua unalala wapi Mkuu?Aggrey,Lumumba,au Shaban Robert?Asubuhi kwenda Assembly ni kama watu wanaenda sokoni kwa mavazi walio vaa ..Lyamungo hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikua unalala wapi Mkuu?Aggrey,Lumumba,au Shaban Robert?Asubuhi kwenda Assembly ni kama watu wanaenda sokoni kwa mavazi walio vaa ..Lyamungo hiyo
[emoji23]Mimi sikumbuki nilishangaa nini pale FEZA boys
[emoji16][emoji23]
Ulikua unalala wapi Mkuu?Aggrey,Lumumba,au Shaban Robert?
Me nakumbuka tu kwenda Maputo inabidi nguo zote uziache nje maana hali ya kule haikua shwari kabisa. Nilikua kipande ya Agrrey pia mkuu.Aggrey mkuu we wapi lyaboys
hahaha hali ya hewa kule maputo kama mgeni mwanzoni unaweza ukaumwaMe nakumbuka tu kwenda Maputo inabidi nguo zote uziache nje maana hali ya kule haikua shwari kabisa. Nilikua kipande ya Agrrey pia mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka nilimaliza form 1 bila kuongea na MTU darasan coz kidhungu kilikuwa hakipandi pia skuwah kwenda chooni mpaka namaliza form 1 nilkuwa mwoga Wa watoto Wa mjini maana Mimi nilkuwa nimetoka bush na nikaenda kusoma shule ya private ya watoto Wa kishua
Zile principle mara ya kwanza mi niliona kama wanatuchora tuUmenikumbusha..mwalimu wa physics nae alikua kama huyo wenu akiingia darasani kabla ya salamu kila mmoja anasimama na kuanza kustate Archimedes principle..nilikua nachukia somo lake
Shemu kiasi nimeanza kuona unatunyweshaga chai weweMimi sikumbuki nilishangaa nini pale FEZA boys