Jambo ambalo lilikushangaza na hutolisahau baada ya kujiunga na elimu ya sekondari form 1

Jambo ambalo lilikushangaza na hutolisahau baada ya kujiunga na elimu ya sekondari form 1

We jamaa shule ya msingi hamkufundishwa hiyo kitu kwani? Nakumbuka hiyo kitu tulimezeshwa wakati tupo darasa la 6
 
We jamaa shule ya msingi hamkufundishwa hiyo kitu kwani? Nakumbuka hiyo kitu tulimezeshwa wakati tupo darasa la 6
acha kutunywesha chai wewe......labda kama ulisoma hizi shule za kishua za english medium........
 
Nachokumbuka ni disco la welcome form 1,tunalazimishwa kucheza blues na kila mtu awe mtu wake,nyimbo zilizokuwa zinapigwa ni za Judy Boucher,mbona ilikuwa ni kwikw sababu kipindi hicho mm na madem mbalimbali then tunatakiwa tuchezee aiseee
 
kwa hyo ulishindwa kabisa kubambia sku hyoo[emoji50]
 
acha kutunywesha chai wewe......labda kama ulisoma hizi shule za kishua za english medium........
Sio lazima ukubali, ila muulize yeyote aliyemaliza darasa la saba kwa mitihani mitatu ya siku moja utaelewa.
 
Salaam.

Nilijiunga form one miaka kadhaa mingi iliopita.

Nilitokea shule ya msingi yakina sisi wanakayumba na kubahatika kuchaguliwa tena kuingia sekondari nayo ikiwa ni ya kata tu......madarasa manne tu vyoo vya kulenga....na ofisi ya waalimu ilikua ni darasa tu likabadilishwa matumizi.

Sio siri ile siku nimevaa suruali naingia darasani nikajikuta kila mda nachecheka mwenyewe kila nkikumbuka kuwa nimetoka kwenye mazoea ya kuvaa bukta.

JAMBO AMBALO SITOLOSAHAU...

Nikama baada ya week mbili kupita tukaanza kusoma.
Nakumbuka mwalimu wa physics alikua ndo yuko speed sana....siku ya tatu tu ya kusoma kwetu tukawa tumeingia ile topic ya ARCHIMENDES PRINCIPLE. (Ni density kama sijasahau)

Sio siri nilishangaa sana yule mzee aliposema eti inatakiwa tumeze gusestensi gote gule gwa Archimendes principle tena gwakingereza.

Yani kwa kifupi nilihisi anajaribu tu kuleta masihara kidogo mule darasani.

Darasa zima tulicheka mana tumetoka st kayumba na kizungu chenyewe hatuelew mpka mwalimu atafsiri kwa kiswahili tena kwa kurudia rudia, afu mtu anakuja tu et ""hii principle yote muimeze iwe kichwani"" khaaa......Tulihisi masihara tu anajaribu kuchekesha darasa kidgo......sio siri nilidata siku ile mpka kuanza kuhisi hata elimu ya sekondari labda nisingemaliza kwa kweli.

Sijui kwa nyie wenzangu....mi ilo ni moja ya mambo huwa nayakumbuka sana.
mimi kilichonishangaza ni kushuhudia mtu anaingia form one lakini hajui kusoma au kutafsiri sentensi ya kiingereza ya darasa la nne!
 
kwa hyo ulishindwa kabisa kubambia sku hyoo[emoji50]
Yaan nilikuwa nalazimishiwa mbaya,baada hapo mademu wakagundua udhaifu wangu akitokea dem akasema fulani mchumba wangu yaan mm lazima nimletee noma ya hatari
 
gumu kivp wakat umedefine kabisa density hapo...
[emoji3]
Ilo somo we acha tu,nalichukia mno.Nakumbuka mwalimu wa hilo somo siku moja alimichapa mpaka mkono ukachanika utafikiri nimejikata na mabua ya muwa kisa nilishindwa kustate the law of floatation(hii sijui ni law sjui ndo principle mi nimesahau)
 
ni law [emoji23][emoji23]
 
Unaikumbuka Mechanics?
yn mi pale sasa nilikua nagusa projectile motion....nagusa circular motion namalizia na simple harmonic motion.....yn hzo sehm tatu tu kwnye mechanics......sikutaka kujikondesha.
 
na derivation chache za newtons laws of motion then ndukiii ndefu
 
vinakela vimaksi vyake tu kwenye mtihani....

mara 1 mark....mara 1.5 mark....hapo umetoa definition za kutosha
 
yn mi pale sasa nilikua nagusa projectile motion....nagusa circular motion namalizia na simple harmonic motion.....yn hzo sehm tatu tu kwnye mechanics......sikutaka kujikondesha.
Hahaha gravitation na rotation of rigid bodies ulimwachia nani asome???[emoji23]
 
Back
Top Bottom