Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Za K.K.S na K.D.S?Latano hesabu za vipeuo zilinitesa sana
Kigawe kidogo cha shirika[emoji23] [emoji23] [emoji23]Za K.K.S na K.D.S?
Hahahhahha wewe mkuu wazazi wako wamepata hasara yani umesoma feza ata jf ya familia au mtaani kwako umeshindwa kubuni.wakati feza rasilimali zote zipo.Mimi sikumbuki nilishangaa nini pale FEZA boys
Mkuu vipi?Pole.sana
Fresh niaje mkuu?Mkuu vipi?
Sijakuelewa mkuu hiyo hasara imetoka wapi?Hahahhahha wewe mkuu wazazi wako wamepata hasara yani umesoma feza ata jf ya familia au mtaani kwako umeshindwa kubuni.wakati feza rasilimali zote zipo.
Nini tatizo mkuu umepotea sana?Fresh niaje mkuu?
Kuna issue hazipo sawa hapa penyewe nipo kwa emergency tuPoa basi shem usijari nitakujuza aisee
Poa mkuu, uzima na afya vipo lakini?Kuna issue hazipo sawa hapa penyewe nipo kwa emergency tu
Vipo mkuu Shem mzima ?Poa mkuu, uzima na afya vipo lakini?
.
Nakumbuka mwalimu wa physics alikua ndo yuko speed sana....siku ya tatu tu ya kusoma kwetu tukawa tumeingia ile topic ya ARCHIMENDES PRINCIPLE. (Ni density kama sijasahau)
Sio siri nilishangaa sana yule mzee aliposema eti inatakiwa tumeze gusestensi gote gule gwa Archimendes principle tena gwakingereza.
Yani kwa kifupi nilihisi anajaribu tu kuleta masihara kidogo mule darasani.
Hahah!! Yuko poa sana mzee tena siku hizi nazidi kula mema ya nchi wewe tu umetowekaVipo mkuu Shem mzima ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aaaaaiiiiiseeeeUngeambiwa ukariri kanuni hiyo hiyo kwa lugha ya Kiswahili ungeliweza wewe?
Nguvu ya ueleaji wa gimba ndani ya midia ni sawa na nguvu ya uzito wa kiasi cha midia kilichosogezwa na gimba.
Inaendelea, gimba ikizama nusu au yote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.
Nakuamkia babaMimi nakumbuka " in order to complete the double entry system, we debit cash by writing capital and we credit capital by writing cash"
sitakuja kuisahau hii statement mwaka 2001 form one 411 kj ruhuwiko mwl Ndunguru alinichapa sana viboko.
Hilo somo kwa kiswahili halifai kabisa ni mvurugano wa hali ya juu.Ungeambiwa ukariri kanuni hiyo hiyo kwa lugha ya Kiswahili ungeliweza wewe?
Nguvu ya ueleaji wa gimba ndani ya midia ni sawa na nguvu ya uzito wa kiasi cha midia kilichosogezwa na gimba.
Inaendelea, gimba ikizama nusu au yote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.