inaonekana ulikuwa mhenga tangu zamaniMi nakumbuka siku naripoti tulikuwa wawili na jamaa yangu mmoja kutoka usukumani, sasa mwalimu kutuona akamwambia jamaa(mwanafunzi mwenzangu) " mzazi hii shule yetu ni nzuri sana na wanafunzi wanafaulu vizuri tu, usiwe na wasiwasi na mwanao"
matusi etiUngeambiwa ukariri kanuni hiyo hiyo kwa lugha ya Kiswahili ungeliweza wewe?
Nguvu ya ueleaji wa gimba ndani ya midia ni sawa na nguvu ya uzito wa kiasi cha midia kilichosogezwa na gimba.
Inaendelea, gimba ikizama nusu au yote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.
na kuna wanaotaka hiyo lugha itumike kufundishia hadi chuo.. kazi kweli.Hilo somo kwa kiswahili halifai kabisa ni mvurugano wa hali ya juu.
Kuna siku nilikuwa najiuliza kuhusu hiyo Principle nikasema nilikariri mno embu ngoja nitafute maana yake kwa kiswahili aiseeh kukutana na hiyo ugiligili haki nilishindwa kuendelea kila neno likawa linanivuruga niliishia kujicheka tuu.
Hatari sana aiseeh, hawa watoa matamko sijui huwa wanawaza ninina kuna wanaotaka hiyo lugha itumike kufundishia hadi chuo.. kazi kweli.
Mkuu acha,unanikumbusha Nelcon na Chandy aisee. Achilia mbali Rogeryn mi pale sasa nilikua nagusa projectile motion....nagusa circular motion namalizia na simple harmonic motion.....yn hzo sehm tatu tu kwnye mechanics......sikutaka kujikondesha.