Jambo ambalo lilikushangaza na hutolisahau baada ya kujiunga na elimu ya sekondari form 1

Jambo ambalo lilikushangaza na hutolisahau baada ya kujiunga na elimu ya sekondari form 1

Nilishangaa kumuona mwalim anaechapa fimbo zinauma dunia nzima ZUMBA(mbalizi Sec)
 
Mi nakumbuka siku naripoti tulikuwa wawili na jamaa yangu mmoja kutoka usukumani, sasa mwalimu kutuona akamwambia jamaa(mwanafunzi mwenzangu) " mzazi hii shule yetu ni nzuri sana na wanafunzi wanafaulu vizuri tu, usiwe na wasiwasi na mwanao"
inaonekana ulikuwa mhenga tangu zamani
 
Ungeambiwa ukariri kanuni hiyo hiyo kwa lugha ya Kiswahili ungeliweza wewe?

Nguvu ya ueleaji wa gimba ndani ya midia ni sawa na nguvu ya uzito wa kiasi cha midia kilichosogezwa na gimba.

Inaendelea, gimba ikizama nusu au yote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.
matusi eti
 
Hilo somo kwa kiswahili halifai kabisa ni mvurugano wa hali ya juu.

Kuna siku nilikuwa najiuliza kuhusu hiyo Principle nikasema nilikariri mno embu ngoja nitafute maana yake kwa kiswahili aiseeh kukutana na hiyo ugiligili haki nilishindwa kuendelea kila neno likawa linanivuruga niliishia kujicheka tuu.
na kuna wanaotaka hiyo lugha itumike kufundishia hadi chuo.. kazi kweli.
 
yn mi pale sasa nilikua nagusa projectile motion....nagusa circular motion namalizia na simple harmonic motion.....yn hzo sehm tatu tu kwnye mechanics......sikutaka kujikondesha.
Mkuu acha,unanikumbusha Nelcon na Chandy aisee. Achilia mbali Roger
 
Back
Top Bottom