Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
mzee katika hela ulizopoteza kijinga huu mwaka ni hizo ulizomgharamia huyo malaya keri!😂Dah acha kabisa. Wiki 3 ama 4 zilizopita. Girlfriend wangu nilimfumania na jamaa mwingine. Maumivu ya kufumania asikwambie mtu nlihisi mwili umeishiwa nguvu, nikaanza kutetemeka. Halikuwa fumanizi laiv bali kwenye simu maana nlipiga simu haikupokelewa nikarudia mara 3 ndo akapokea. Ss akajichanganya sababu ya hofu na jamaa akastuka. Mbaya zaidi usiku wa juzi kuamkia jana yake nlilala naye usiku kucha. Alivonidanganya nikagundua. Baada ya muda km dakika 10 nikamwamdikia kuwa "upo na mwanaume maana nimemsikia ana guna kwenye simu baada ya kusema uongo" kumbe zile dakika 10 kulikuwa na mtifuano jamaa akawa ameichukua simu.
Jamaa akanijibu ile sms kwa kusema amekudanganya nipo naye mm,
Sms ya pili akauliza unamtafuta huyu kwani mkeo.
Ndo hali mbaya ikanitokea sikuweza hata kuwa na nguvu ya kuandika sms. Nlikaa km nusu saa ndo hali akarudi sawa.
Ikumbukwe mdada huyu anapoushi mm ndo nalipia, fanicha zote nimemnunulia mm, nalipa kila kitu hadi chakula namlisha mm. Simu nilojibiwa pumba nliinunua mm wiki 2 zilizopita ni smart ya laki1 20elf. Vocha naweka mm,
Nikajibu hiyo sms nikimwambia jana nimelala na huyo dada usiku kucha, na nikamweleza gharama ninazomgarimikia. Kumbe jamaa aliizima sim baada ya kumpora.
Baadae jion mwanamke anaanza kunitafta anaapology.nikamwambia its over. Nakuachia kilakitu ila kuanzia sasa jamaa atake charge.
Dem alikuja nimekaa naye kwenye gari lisaa zima amepiga magoti analia. Nikamwacha ila baada ya wiki nikafikiria nikaamua kumsamehe. Nikapanga naye safari tukarnda kenya kupoteza mawazo kidogo bado akanitibua hukohuko tulika 3 days ila akati tunarudi njia nzima hatukuongea na tulitumia gari binafsi.
Hapa napanga nimwekee sub ya nguvu.