Jambo ambalo umsamehe mpenzi wako kikawaida na asingesitahili msamaha

mzee katika hela ulizopoteza kijinga huu mwaka ni hizo ulizomgharamia huyo malaya keri!πŸ˜‚
 
Nimemtema jioni hii ngojanilete screenshot,


Najaribu kufuta baadhi ya vitu bado vinaonekana so sitaituma
Sasa unaanzaje kugombana na mtu wa hivyo?!

Unatafuta pisi kali, unaenda nayo, unaiambia kuanzia sasa hapa ni kwako huyu ni ndugu yangu anaondoka kesho kutwa.....
 
Usisahau mrejesho.
CC: Ushimen eti Mkuu ulibadili ID? Nasikia zamani hapo kwenye S kulikuwa na C.😜
πŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈ

Hahahha hapo kwenye utamu ngoja nijionje halafu nitaconfirm
 
Mkuu....
Naona unatafuta vita ya tatu ya dunia ehhhh...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: BAK
We ni jasiri kweli,umetisha
 
Nishasalitiwa mara tatu na same girl lakini hadi sasa niko naye huwa haniumizi kichwa nikigundua kanisaliti natafuta pisi kali then sijifichi ili agundue kuwa nipo naye kwakuwa nimeamua tu kuwa nae sio kwamba yeye ni mzuri ila kumsitiri
 
Dah una moyo ila nyie ndio mnatuharibia sifa za kiume
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimeuliza tu Mkuu wala sihitaji vita. Na jeshi lako hilo kubwa hata masaa sichukui nitapandisha bendera nyeupe.,

Mkuu....
Naona unatafuta vita ya tatu ya dunia ehhhh...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hongera ila mie kwenye mazingira kama haya hakuna msamaha hata akilia machozi ya damu.

 
Kweli wewe holly! Sasa saa moja nzima mlikuwa mnaongea nini kwenye gari? Ila huyo keshakukamata
 
Noma sana napenda watu wa kariba yako
 
Na sisi tulio samehewa baada ya kucheat tuweke wapi comment zetu
 
Umerogwa jomba
 
Nishasalitiwa mara tatu na same girl lakini hadi sasa niko naye huwa haniumizi kichwa nikigundua kanisaliti natafuta pisi kali then sijifichi ili agundue kuwa nipo naye kwakuwa nimeamua tu kuwa nae sio kwamba yeye ni mzuri ila kumsitiri
Ya ukweli hayo?
 
daah mkuu kwanza nikupe hongera kwa moyo mgumu hivyo kweli umempenda sana

mpe funzo litakalomfanya arudi na kutulia kwenye line yeye mwenyewe
 
Huyu Hollystar itakuwa ni Mume wa mtu kwa hiyo huyo ni kimada tu, haiwezekani kwa mpenzi wa kawaida na kama una malengo ya kuwa pamoja kwa ndoa.
una moyo aisee
Dah pole sana
Mzee ww una moyo wa chuma me ningemsamehe lakin kurudiana mpaka yesu arudi
Anamoyo wapi wakati mtu asharogwa!
Mkuu
Usipoenda mbinguni usikubali, kata rufaa, sio kwa moyo huo mzee πŸ™ŒπŸ½


Let's meet at the top, cheers 🍻
mzee katika hela ulizopoteza kijinga huu mwaka ni hizo ulizomgharamia huyo malaya keri!πŸ˜‚
Sasa unaanzaje kugombana na mtu wa hivyo?!

Unatafuta pisi kali, unaenda nayo, unaiambia kuanzia sasa hapa ni kwako huyu ni ndugu yangu anaondoka kesho kutwa.....
We ni jasiri kweli,umetisha
Dah una moyo ila nyie ndio mnatuharibia sifa za kiume
Hongera ila mie kwenye mazingira kama haya hakuna msamaha hata akilia machozi ya damu.
Umerogwa jomba
Kweli wewe holly! Sasa saa moja nzima mlikuwa mnaongea nini kwenye gari? Ila huyo keshakukamata
daah mkuu kwanza nikupe hongera kwa moyo mgumu hivyo kweli umempenda sana

mpe funzo litakalomfanya arudi na kutulia kwenye line yeye mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…