matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Kila kazi hata kama mshahara ni laki mbili KWA mwezi yupo mtu analia maisha magumu wakati huohuo hapohapo Kuna mtu anamshukuru Mungu KWA mshahara huo na anendesha familia KWA furaha kubwa.
Kuna bodaboda kijana anaishi kwao na muda wote analia njaa, Kuna bodaboda mtu mzima anafamilia, amejenga, analisha familia, analipa bills zote na ana kabiashara pembeni KWA ajili ya mke wake
Kuna muajiliwa amejaa mikopo na anatamani kuacha kazi. Wakati huohuo hapohapo Kuna muajiliwa analisha familia, anatunza familia za ukweni na kwao. Anamiradi, analipa bills zote na analipa ada English Medium na hata asipoongezwa mshahara hawezi kufa masikini.
Unapoanza kazi hata kama ni mfanyabusafi chagua kundi la aina ya muajiliwa au mfanyabiashara kabla ya yote. Itakusaidia kuona MENGI KWA upande uliouchagua
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi.