Jambo gani hutosahau wakati ukitafuta ajira/kazi

Jambo gani hutosahau wakati ukitafuta ajira/kazi

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Mara nyingi watu wapo kwa ajili ya kukukatisha tamaa, kukuinua na kadhalika
Una historia gani iliyobaki Kwako Kama kumbukumbu katika utafutaji
 
vile ume-graduate uko home
ukaona post, una apply kimya kimya bila kusambaza link
unaitwa kwa interview , unakuta team nzima ya classMates iko hapo
 
vile ume-graduate uko home
ukaona post, una apply kimya kimya bila kusambaza link
unaitwa kwa interview , unakuta team nzima ya classMates iko hapo
After University kila mtu anakomaa man solo bro. Kusanuana kuna mengi.
 
Back
Top Bottom