Elimu ingekuwa hiyari shule nyingi za msingi zingefungwa hahahaNilikuwa natamani litokee tatizo kubwa shuleni ili tupate walau siku chache za mapumziko [emoji23] [emoji23].
Pia nilikuwa natamani sana atokee mwizi aibe nguo zangu zote za shule ili wakati wanajipanga kuninunulia zingine nipate muda wa kukaa home
nilikuwa natamani nngekuwa mkubwa, leo nmekuwa mtu mzima natamani nwe mtoto.[/QUOTE😂😂😂😂😂😂
Hasa kuwe na mvua nilikuwa natamani kuliaNilikua nalaumu ni nani aliyeleta maswala ya shule
Kila ikifika asubui wakat wa kuamka nilikua sipend
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala humtamani tenaa
kuna siku unakuta michezo imekolea mpaka unatamani usiku usiingieonilikuwa nikiona ndege(aeroplanes) zinapita natamani siku moja idondoke jirani na homu ili niione kwa karibu na niokote vitu.
watoto wa kitaa, ujinga unawazwa tangu hatujui mema na mabaya.
aiseee mkuu inaonekana ulikuwa unajinyea nyea sana utotoniNile bila kunya
aiseee mkuu inaonekana ulikuwa unajinyea nyea sana utotoni
Nilitamani sana siku moja serikali itangaze shule zote zifutwe na watoto kuanzia siku hiyo wawe mitaani na kucheza tu.
Salama mkuu,we mzee bado hujafa hahahaha habari yako ndugu yangu
we mzee wa miaka mingi unaenyoa kidukuSalama mkuu,
Nina taarifa zako kua ulisukumwa ukaangukia sufuria kubwa la supu la mama ntilie je ulifanikiwa kumlipa?
Sawa mkuu,we mzee wa miaka mingi unaenyoa kiduku
haya mambo tutaongea vizuri nikirudi huko shambani ndugu yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwa natamani Fundi aanguke kutoka kwenye paa la nyumba nicheke.