Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhahhahahNilikuwa natamani Fundi aanguke kutoka kwenye paa la nyumba nicheke.
Sio kwako watoto wa hali ya chini wote tulitamani mbonaHapana.ni jambo la kijinga maana nilivyotamani isingeweza kutokea.nilitamani maisha ya watoto wa majirani ambao wazazi wao walikuwa na uwezo
Hii niliwaambia jana marafiki zangunilikuwa natamani nngekuwa mkubwa, leo nmekuwa mtu mzima natamani nwe mtoto.
Kwa hiyo ulikuwa husikitiki mtu akifariki we unafurahia tu kurudi nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa napenda kusikia kesho sikukuu hatuendi shule au mwanafunzi mwenzetu kafariki au kafiwa,sasa ile walimu kusema Leo rudini nyumbani,nilikuwa nafurahi sana
Naam,saa mbili tu,mpo home,burudani sana,ila baada ya kufika darasa flani,mwalimu wangu wa sayansi alitutoka,niliumia zaidi ya ndugu zake,pia mwaka unaofata classmate alitutoka kwa kugongwa na nyoka,iliniuma mno yule msichana.Kwa hiyo ulikuwa husikitiki mtu akifariki we unafurahia tu kurudi nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmmh hapo kwenye kuota matiti sasaNilikuwa natamani niote matiti
Nilikuwa natamani niwe mkubwa,niliona kama wanafaidi sana kumbe kawaida tu
Nilikuwa nawatamani makomandoo wa kwenye movie ndio wawe bwana zangu wanioe,mfano sunil shet,salman khan, Jason sta,Dolf Lundgren ndio maana mpaka leo mwanaume awe hana mwili wa mazoezi hata kidogo hapana kabisa,awe na mwili umejaa jaa kama dolf ndio roho yangu inafurahii na kutulia tuliii
waambie nawapenda sana.Hii niliwaambia jana marafiki zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala humtamani tenaaNilikuwa natamani nikiwa mkubwa nije kumnaniliu demu wa jirani, sasa baada ya kukua na yule demu kaja kuzeeka kupitiliza yaani hata sina tena mzuka naye mpaka najishangaa nilikuwa nawazaga nini juu yake.
Nishayaota mpaka basiMmmmh hapo kwenye kuota matiti sasa
We baba ako alikuwa mkatiliKuna kama mara tatu hivi nlitamani kiyama kifike, fujo za utotoni mshua alikua anagawa kichapo noma sana
Siwezi kumlaumu aisee, mungu ambariki sana mshua... mi nlikua na fujo za kufa mtu... Nshampiga mwalimu na manati ya kichwa pindi nipo darasa la pili, na kuna siku nlitumwa nikanunue vitumbua asubuhi nikaanza mchezo mchezo nikamwaga hot-pot zima la vitumbua...... ishu ilikua kurudi home, njia nzima ni kumwomba mungu ashushe kiama muda huo huoWe baba ako alikuwa mkatili
Kwani ticha ulimpiga makusudi?Siwezi kumlaumu aisee, mungu ambariki sana mshua... mi nlikua na fujo za kufa mtu... Nshampiga mwalimu na manati ya kichwa pindi nipo darasa la pili, na kuna siku nlitumwa nikanunue vitumbua asubuhi nikaanza mchezo mchezo nikamwaga hot-pot zima la vitumbua...... ishu ilikua kurudi home, njia nzima ni kumwomba mungu ashushe kiama muda huo huo