Jambo gani la kushtusha la kitaifa liliwahi kumwibua hadharani Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Huyu Mkatukumeni na Mlei mwenzangu ambaye ni Makamu wa Rais wa JMT sijawahi kumsikia aki address jambo lolote liwe kubwa au dogo hasa kama linagusa maisha na hisia za Raia.

Ama kwakuwa sifahamu protocali za uongo pengine ndio sababu.

Mh Dr Mpango sema chochote kuhusu Kadhia hii inayoendela na umsaidie Mh Rais Samia kuizima na kupambana nayo na roho zetu zipone.

Amina.
 
Alipopatwa na kupona Uviko 19 then akaja hadharani huku akilia na kutokwa na makamasi na udenda akitusihi watanzania wenye viburi na ubishoo kuvaa barakoa. Toka hapa sijamuona tena na sijuwi kama bado yupo.
 
 
Mbona mara nyingi huongea,au umeamua kupiga jiwe mzinga wa nyuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…