Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakosea sana.Huyu Mkatukumeni na Mlei mwenzangu ambaye ni Makamu wa Rais wa JMT sijawahi kumsikia aki address jambo lolote liwe kubwa au dogo hasa kama linagusa maisha na hisia za Raia.
Ama kwakuwa sifahamu protocali za uongo pengine ndio sababu.
Mh Dr Mpango sema chochote kuhusu Kadhia hii inayoendela na umsaidie Mh Rais Samia kuizima na kupambana nayo na roho zetu zipone.
Amina.
Kumbe ndio ProtocolUnakosea sana.
Makamu wa rais ni;
Mbadala wa rais ikiwa rais hatakuwepo nchini au mgonjwa au vinginevyo.
Hana la kusema iwapo bosa wake yupo.
Kwa kifupi makamu wa rais ni sawa na mke akiwa nyumbani na mumewe, mume ndiye mwenye kauli ya mwisho
Waliingia kwa Merit ya Usomi tu, nje ya vitabu hawana kitu kingine?Hukuwahi kufikiria kuwa mbunge, waziri au hata VP..
Nafikiri aliteuliwa na Magu tu kuwa mbunge kisha waziri..
Hana uzoefu wa siasa ameingia juzi juzi 2018 ni lile kundi ya kina ndalichako
Rais akiongea maana yake makamu wake hawezi kuongea tena.Kumbe ndio Protocol
Mtag aje afafanue mwenyeweNdio umefanyaje?