Jambo gani la kushtusha la kitaifa liliwahi kumwibua hadharani Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango?

Hukuwahi kufikiria kuwa mbunge, waziri au hata VP..

Nafikiri aliteuliwa na Magu tu kuwa mbunge kisha waziri..

Hana uzoefu wa siasa ameingia juzi juzi 2018 ni lile kundi ya kina ndalichako
 
Nje ni amevikwa ngozi ya mwanakondoo..
 
Unakosea sana.
Makamu wa rais ni;
Mbadala wa rais ikiwa rais hatakuwepo nchini au mgonjwa au vinginevyo.

Hana la kusema iwapo bosa wake yupo.
Kwa kifupi makamu wa rais ni sawa na mke akiwa nyumbani na mumewe, mume ndiye mwenye kauli ya mwisho
 
Kumbe ndio Protocol
 
Hukuwahi kufikiria kuwa mbunge, waziri au hata VP..

Nafikiri aliteuliwa na Magu tu kuwa mbunge kisha waziri..

Hana uzoefu wa siasa ameingia juzi juzi 2018 ni lile kundi ya kina ndalichako
Waliingia kwa Merit ya Usomi tu, nje ya vitabu hawana kitu kingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…