Jambo gani lililowahi kukufanya ujisikie aibu/Ujivunie Utanzania wako?

Jambo gani lililowahi kukufanya ujisikie aibu/Ujivunie Utanzania wako?

Nenda Ulaya na Marekani sasa.

Kule ukisema unatokea Tanzania wanakuuliza Iko wapi hii?

Ukiwapa ufafanuzi kuwa ni Nchi inayomiliki Mlima Kilimanjaro, wanakwambia mbona huu Mlima sisi tunajua uko Kenya?

"Haibu" sana..
Hao ni wajinga sana. Ukisema I'm from Tanzania. Wao wanasema Oh Tasmania. Nice country full of Kangaroos. Unabaki unacheka.
 
Tukiwa tunaingia South Sudan bahati mbaya dereva wa basi la Friends aligonga beria. Wale askari wakatupa option mbili kama adhabu kwa kugonga beria. Moja wapige risasi tairi zote au tuchezee stiki abiria wote dereva na watumishi wote wa basi. Tulipima gharama ya muda tukachagua kupigwa stiki. Nilijivunia Tz maana wale wajinga hawakutaka rushwa na hawakupigi mkeka.
 
Jambo lililonifanya nijivunie ni suala la treni ya umeme imezua mjadala mkubwa sana kwa majirani zetu kenya na Uganda, UG wamekubali kuwa Tz imepiga hatua ila Kenya wana chuki sana na Tz jamaa wamelelewa katika tabia za chuki, husda na wivu wanapondea bila fact yoyote.

Jambo linalinifanya nisijivunie ni ccm kung'ang'ania madarakani.
 
Aibu Kubwa

Kushindwa hata Kupanga Miji tu
Kusimamia rasilimali zetu zinazoibwa sana

Aibu zaidi ukisikia kampuni binafsi inakusanya kodi na sio Taasisi ya umma.
 
Back
Top Bottom