MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
TUshone sare ya kitenge basi kama Waha wanandoa?🤣🤣🤣Kumbe unavaa mashati ya vitenge!ndio maana.
Namuheshimu mamamkwe wangu,huko ni kunyanyasia mtoto wake😥😥😥😥😥TUshone sare ya kitenge basi kama Waha wanandoa?🤣🤣🤣
Waha kwa sare za vitenge waume na wake wameweza sana🤣🤣🤣Namuheshimu mamamkwe wangu,huko ni kunyanyasia mtoto wake😥😥😥😥😥
Sasa ni saa ngapi mtu wanguNamuheshimu mamamkwe wangu,huko ni kunyanyasia mtoto wake😥😥😥😥😥
Nilipeleka Jeans mpya kabisa anipinguzie kiuno kidogo, alichofanya alifumua yale maungio ya katikati na kuipunguza then akashona kama suruali ya kitambaa. Ilikuwa kituko.
Unashona chupi ya kitenge?
TUshone sare ya kitenge basi kama Waha wanandoa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siwezi kunyanyua mguu wangu kutoka nyumbani eti nimevaa kitenge🤣🤣🤣Shoneni afu jpili muwahi misa ya kwanza mtapendeza bro [emoji23][emoji23][emoji23]
Husomeki.Sasa ni saa ngapi mtu wangu
Kanisani tunapigaga mapigo yetu sio vitenge dogo😂Shoneni afu jpili muwahi misa ya kwanza mtapendeza bro [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakupa Moja la zawadi la kuendea bible study.Siwezi kunyanyua mguu wangu kutoka nyumbani eti nimevaa kitenge🤣🤣🤣