Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Utakula "no thank you" matata🤣Nitakupa Moja la zawadi la kuendea bible study.
Au nitalipokea na nitamzawadia rafiki yangu Muha🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakula "no thank you" matata🤣Nitakupa Moja la zawadi la kuendea bible study.
Kanisani tunapigaga mapigo yetu sio vitenge dogo[emoji23]
Siwezi kunyanyua mguu wangu kutoka nyumbani eti nimevaa kitenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitumie nauli sisySasa si ndio utoke huko Nanjilinji umfate sisy Burundi mkapate picha ya pamoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafeli wapi bro?
Nitumie nauli sisy
Hakika mdogo wangu,hujakosea....ila naona wataturoga Sasa hivi unavyoisifisia ndoa yetu 🤣🤣🤣🤣🤣Kitenge ndio kizuri sisy mnaonekana kweli ndoa yenu ina amani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hapa tulipo panaitwaje Sasa🤣?Jamani Mwanza mbona sijawahi kufika, au umenipeleka Mwanza ndotoni?
Sungushia le fish😁😁😁Kwani hapa tulipo panaitwaje Sasa🤣?
🤣🤣🤣🤣🤣Mwehu sanaSungushia le fish😁😁😁
Mnatokaga wapi na wehu nyie wadada🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwehu sana
Utapata hypertension kuchukulia mambo ya mitandaoni serious.Uzi ushavamiwa huu. Unapoteza maana.
Binafsi nilipeleka kitambaa Cha suti miezi mitatu kabla ya tukio Ila kila nkienda napigwa tarehe mbele. mara ya mwisho nafika fundi simuoni wapo wasaidizi nguo hawajaanza kushona. nikawaambia nipeni kitambaa wanasema hawajui kilipo hapo nmefura vibaya sana tukio kesho kutwa na nguo ya maana Sina zaidi ni jeans tu ndo zipo ndani.
Katika harakati za kutafuta kitambaa mke ndani kwenye maboksi Moja wapo nikamkuta fundi mkuu kumbe waliniona akaingia kwenye boksi Moja kubwa wakaweka vitambaa juu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nilimsimamia fala yule kuanzia saa 9 alasiri kufika saa 11 alfajiri suti imeisha.
ITOSHE KUSEMA HAKUNA WATU WAONGO KAMA MAFUNDI WA KUSHONA NGUO HASA WALE MAARUFU.
Yaani hata hutuelewi tunajikuta tu😂Mnatokaga wapi na wehu nyie wadada🤣
Haya pambana na mwehu eako fresh 😆Yaani hata hutuelewi tunajikuta tu😂