Jambo gani linakufanya usimsahau kamwe yule Fundi Nguo?

Khaa! Sipendi mwanaume avae kitenge sijui naonaje [emoji21][emoji21][emoji21] au manguo kama yale wanavaa wanaume wa kinigeria kama magauni haki tena mtu akivaa vile sijui namuonaje.
Kuna wanawake wanapenda kushona sare na waume zao, za kitenge na kanga, fika Kigoma mbona utafurahi😂😂
 
Khaa! Sipendi mwanaume avae kitenge sijui naonaje [emoji21][emoji21][emoji21] au manguo kama yale wanavaa wanaume wa kinigeria kama magauni haki tena mtu akivaa vile sijui namuonaje.
Unamuona kama anaimba "Twende Nairobi" au "Kei Nairobi" wa Mbilia Bel?
 
Kuna wanawake wanapenda kushona sare na waume zao, za kitenge na kanga, fika Kigoma mbona utafurahi[emoji23][emoji23]
Wapo wengi tu huwa nawaona ila mimi hapana jaman. Hata kuvaa sare tu sitaki sijui ndio ushamba [emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂
 
Yule fundi hata kupokea nguo hakuipokea, nilitaka apunguze ukubwa wa kigauni changu kiweze kunitosha vizuri akanijibu yeye huwa hashoni viraka. Sinaga hamu na yule baba.
Duuh alikuwa anakutaka nini[emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]aisee sikutegemea kama uzi utanichekesha hivii
 
Duuh alikuwa anakutaka nini[emoji28][emoji28][emoji28]
Hamna. Yule mzee ndio alivyo nyodo kama zote. Siku ile nilidhani labda yupo na mood mbaya lkn nikaja nikasikia kwa watu wengine ndio tabia yake hataki uende kufanya marekebisho yoyote ya nguo anaita viraka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…