Jambo gani ulikuwa ukikatazwa utotoni na mzazi/mlezi ukahisi sio sawa ila huku ukubwani unashukuru sana kuwa yale makatazo yamekusaidia kuwa mtu bora?

Kuendesha piki piki mzee alikua ananikataza lkn nlikuwa simuelewi nlikuwa nakimbiza kama Sina akili vle saivi nimeshafunga nadhiri sitakaa nipande pikipiki ...na zaidi ya miaka mitatu sijapanda
Daaah mkuu ilikua bado hivi an πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah we ulikuwa mfungwaπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Anhaa yani ndo unalounch hiki chuma??
Sema we dogo ni tajiri afu unajiita jobles sijui mganga wako ndo kakwambia ujidogodishe ili usirogwe.
Kaka mi jobless pro max, na hicho Chuma Mungu aki jalia mwakani kina Anza ndani ndani huko πŸ˜†.

Mi jobless pro max naombaga deiwaka tuπŸ˜‚πŸ˜†
 
Nilikuwa pale Las Vegas Upanga.
Wazazi wakasema hii kazi sio, wakanipeleka chuo cha ualimu Mhonda kuendelea na maisha mengine, japo nilifanya kazi na kuendelea na mambo ya serikali na nchi huko mbeleni.
Nawashukuru wazazi wangu maana bila hivyo, na hii akili yangu sahv na nilivyo pisi kipindi kileπŸ˜„ nahisi ningeishia jela au kunyongwa kule Thailand...au China🀧
 
Kukimbilia mpande mkubwa wa paja la kuku kabla ya baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…