PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
🤣🤣🤣🤣🤣Education
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Education
Hahaaaa aisee lol
Mi nililala church siku ya jumatano ya majivu pale St. Joseph tukiwa tunangoja misa ianze coz niliwahi sana nikawa naota...nkaota naanguka lol nilikurupuka kwa speed balaa yan full aibu uzuri nilikuwa nimepakana ma wazee so walijua nimechoka tu.
Baada ya hapo sikulala tena na huwa silali church
mmh kweli nawe ulijipa aibu....
kulala kanisani hadi unaota teh! bora hata mimi...
Teh! nshajifunza ila bado aibu naikumbuka!!!!!!
mmh you are lucky asee!!! mi nna matukio yani hata kuyasimulia ni aibu tu.....