Jambo hili linawezekanaje?

Sasa hapa ndo tunapima uelewa wa watu!, hizo mi nafikiri ni statement mbili tofauti na kuzielewa mpk usome maelezo mwandisho aliyoandika ndani.
 
Sasa hapa ndo tunapima uelewa wa watu!, hizo mi nafikiri ni statement mbili tofauti na kuzielewa mpk usome maelezo mwandisho aliyoandika ndani.
Tuwekee ya ndani mkuu
 
Labda alimaanisha wanyama walipelekeana moto sana baada ya tour!
 
Tunaposema Rushwa hupofusha macho, ndo kama hivi sasa

Na tunaposema mtu kuwa ccm ni kujitakia laana, watu muelewe

Anayebisha hiyo siyo laana ya maji ya kijani ccm nani?

Ujinga kuwa ukoga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…