Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Jamiicheck hebu nithibitishieni kama gazeti hili lipo kweli kabla sijalishambulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mafuta ya Mwamposa PekeeJamiicheck hebu nithibitishieni kama gazeti hili lipo kweli kabla sijalishambulia
View attachment 3261431
Balile amekusikiaJukwaa la Wahariri linasemaje?! Au wao kazi zao ni kufurahisha wakubwa?!
Tuwekee ya ndani mkuuSasa hapa ndo tunapima uelewa wa watu!, hizo mi nafikiri ni statement mbili tofauti na kuzielewa mpk usome maelezo mwandisho aliyoandika ndani.
Hahahaha nchi inavituko sana hii.Jamiicheck hebu nithibitishieni kama gazeti hili lipo kweli kabla sijalishambulia
View attachment 3261431
Ungesoma kwanzaJamiicheck hebu nithibitishieni kama gazeti hili lipo kweli kabla sijalishambulia
View attachment 3261431
Wale Fisi wa Katavi nao wamo?
Kuna 'ndom" zina picha kama hiyoWatu wabunifu sana sasa hivi hata tukienda kupata moja moto moja baridi baa medi akija ana kifaa hiki😅😅
View attachment 3261493
Watakosaje kiongozi?Wale Fisi wa Katavi nao wamo?