Jambo hili ni Udhibitisho tosha kabisa Taifa Stars bado haipo Tayari Kushindana AFCON

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Ni wendawazimu tu kufikiri eti KUNA ZAMU ZA KUSHIRIK AFCON. hii akili sijui ni ya wapi? Afcon inataka maandalizi na mapambano ya dhati ya nia dhabiti na malengo mahsusi. Specific Objectives.

Sasa mnaposema NI ZAMU YETU hii kauli mbiu ya kichovu imeasisiwa na nani?kudhani kuwa kuna kupeana zamu katika kushiriki AFCON? kuwa sasa tunaanza kudai zamu yetu ili kushiriki na si kwenda kupambana?

Hatua tuliyofika tumejitakia baada ya kupoteza mechi ambayo kwa taifa letu hatukupaswa kupoteza. Leo tunajikuta tunategemea hisani ya Uganda ili kupita. Na kuanza kuwaomba kuwa ni zamu yetu.

Tulijiandaaa vipi toka mwanzo katika hili? Miaka hii bado maandalizi yetu ni ya zima moto.hatuna kikosi kinachojielewa cha Taifa Stars. Je kocha amefuatilia viwango vya wachezaji katika mechi zao kwa ukaribu?

Zamu yenu watanzania inakuja vipi? Mnataka kugeuza mpira nao kuwa siasa? Mpira ni mapambano hakuna zamu.kwa team iliyojipanga hata watazamaji wasipoenda itashinda tu.

Uganda njooni mje mcheze mpira wa kutafuta ushindi.msije dhubutu kutubeba tukaenda kuaibisha huko mbele.tupate ushindi stahili.zamu watapeana huko huko kwenye siasa kuwa sasa ni zamu yetu kula au zamu yetu kutawala.

Mpira hauna zamu. Ni mapambano uwanjani dk 90 zinaamua mshindi na si mwenye zamu. Tunataka kuona mpira wa ushindani TANZANIA VS UGANDA. hakuna kubebana.
 
Haya ndio maneno kuntu na waelewe
Labda wagawe kadi hahaha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hongera sana nimependa hii " Mpira ni mapambano hakuna zamu.kwa team iliyojipanga hata watazamaji wasipoenda itashinda tu"

Wabongo eti Uganda ni ndugu zetu hahahaaaaaaa....!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa tumewasikia watanzania....Tutafanya venye mnapenda mtafurahia show....
 
kuingizwa kwa wanasiasa kumenitoa morali kabisa, wangewekwa watu wa mpira kina mo na wengine

uwepo wa wasanii na wanasiasa unakata stimu
 
Binafsi nmewashangaa hawa watu, hivi kuishangilia pekee bila maandalizi maanake nini, ni ujinga kiwango cha lami hata tukishangilia tukatoka majasho ya damu lkn kama timu haijaandaliwa vzr kalaghabao,wanapiga makelele ndani ya siku hizi 2 kweli, hii nchi kila mahali ni vituko tu, hawa wenyewe wanaohamasisha hata siwaelewi elewi
 
Afu unakuta timu nzima hakuna mchezaji anaepiga game show ka za Niyonzima afu mnataka watu tushangilie mwanzo mwisho. Tutashangilia goli likifungwa. Lasivyo tunakaa kimya mwanzo mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio ukweli wenyewe..
Ni wendawazimu tu kufikiri eti KUNA ZAMU ZA KUSHIRIK AFCON. hii akili sijui ni ya wapi? Afcon inataka maandalizi na mapambano ya dhati ya nia dhabiti na malengo mahsusi. Specific Objectives.

Sasa mnaposema NI ZAMU YETU hii kauli mbiu ya kichovu imeasisiwa na nani?kudhani kuwa kuna kupeana zamu katika kushiriki AFCON? kuwa sasa tunaanza kudai zamu yetu ili kushiriki na si kwenda kupambana?

Hatua tuliyofika tumejitakia baada ya kupoteza mechi ambayo kwa taifa letu hatukupaswa kupoteza. Leo tunajikuta tunategemea hisani ya Uganda ili kupita. Na kuanza kuwaomba kuwa ni zamu yetu.

Tulijiandaaa vipi toka mwanzo katika hili? Miaka hii bado maandalizi yetu ni ya zima moto.hatuna kikosi kinachojielewa cha Taifa Stars. Je kocha amefuatilia viwango vya wachezaji katika mechi zao kwa ukaribu?

Zamu yenu watanzania inakuja vipi? Mnataka kugeuza mpira nao kuwa siasa? Mpira ni mapambano hakuna zamu.kwa team iliyojipanga hata watazamaji wasipoenda itashinda tu.

Uganda njooni mje mcheze mpira wa kutafuta ushindi.msije dhubutu kutubeba tukaenda kuaibisha huko mbele.tupate ushindi stahili.zamu watapeana huko huko kwenye siasa kuwa sasa ni zamu yetu kula au zamu yetu kutawala.

Mpira hauna zamu. Ni mapambano uwanjani dk 90 zinaamua mshindi na si mwenye zamu. Tunataka kuona mpira wa ushindani TANZANIA VS UGANDA. hakuna kubebana.
 
Ni wendawazimu tu kufikiri eti KUNA ZAMU ZA KUSHIRIK AFCON. hii akili sijui ni ya wapi? Afcon inataka maandalizi na mapambano ya dhati ya nia dhabiti na malengo mahsusi. Specific Objectives.

Sasa mnaposema NI ZAMU YETU hii kauli mbiu ya kichovu imeasisiwa na nani?kudhani kuwa kuna kupeana zamu katika kushiriki AFCON? kuwa sasa tunaanza kudai zamu yetu ili kushiriki na si kwenda kupambana?

Hatua tuliyofika tumejitakia baada ya kupoteza mechi ambayo kwa taifa letu hatukupaswa kupoteza. Leo tunajikuta tunategemea hisani ya Uganda ili kupita. Na kuanza kuwaomba kuwa ni zamu yetu.

Tulijiandaaa vipi toka mwanzo katika hili? Miaka hii bado maandalizi yetu ni ya zima moto.hatuna kikosi kinachojielewa cha Taifa Stars. Je kocha amefuatilia viwango vya wachezaji katika mechi zao kwa ukaribu?

Zamu yenu watanzania inakuja vipi? Mnataka kugeuza mpira nao kuwa siasa? Mpira ni mapambano hakuna zamu.kwa team iliyojipanga hata watazamaji wasipoenda itashinda tu.

Uganda njooni mje mcheze mpira wa kutafuta ushindi.msije dhubutu kutubeba tukaenda kuaibisha huko mbele.tupate ushindi stahili.zamu watapeana huko huko kwenye siasa kuwa sasa ni zamu yetu kula au zamu yetu kutawala.

Mpira hauna zamu. Ni mapambano uwanjani dk 90 zinaamua mshindi na si mwenye zamu. Tunataka kuona mpira wa ushindani TANZANIA VS UGANDA. hakuna kubebana.
aibu imekushika
 
Binafsi nmewashangaa hawa watu, hivi kuishangilia pekee bila maandalizi maanake nini, ni ujinga kiwango cha lami hata tukishangilia tukatoka majasho ya damu lkn kama timu haijaandaliwa vzr kalaghabao,wanapiga makelele ndani ya siku hizi 2 kweli, hii nchi kila mahali ni vituko tu, hawa wenyewe wanaohamasisha hata siwaelewi elewi
wewe mwenyewe utakua hujielewi
 
Ni wendawazimu tu kufikiri eti KUNA ZAMU ZA KUSHIRIK AFCON. hii akili sijui ni ya wapi? Afcon inataka maandalizi na mapambano ya dhati ya nia dhabiti na malengo mahsusi. Specific Objectives.

Sasa mnaposema NI ZAMU YETU hii kauli mbiu ya kichovu imeasisiwa na nani?kudhani kuwa kuna kupeana zamu katika kushiriki AFCON? kuwa sasa tunaanza kudai zamu yetu ili kushiriki na si kwenda kupambana?

Hatua tuliyofika tumejitakia baada ya kupoteza mechi ambayo kwa taifa letu hatukupaswa kupoteza. Leo tunajikuta tunategemea hisani ya Uganda ili kupita. Na kuanza kuwaomba kuwa ni zamu yetu.

Tulijiandaaa vipi toka mwanzo katika hili? Miaka hii bado maandalizi yetu ni ya zima moto.hatuna kikosi kinachojielewa cha Taifa Stars. Je kocha amefuatilia viwango vya wachezaji katika mechi zao kwa ukaribu?

Zamu yenu watanzania inakuja vipi? Mnataka kugeuza mpira nao kuwa siasa? Mpira ni mapambano hakuna zamu.kwa team iliyojipanga hata watazamaji wasipoenda itashinda tu.

Uganda njooni mje mcheze mpira wa kutafuta ushindi.msije dhubutu kutubeba tukaenda kuaibisha huko mbele.tupate ushindi stahili.zamu watapeana huko huko kwenye siasa kuwa sasa ni zamu yetu kula au zamu yetu kutawala.

Mpira hauna zamu. Ni mapambano uwanjani dk 90 zinaamua mshindi na si mwenye zamu. Tunataka kuona mpira wa ushindani TANZANIA VS UGANDA. hakuna kubebana.
leo unasemaje?!? najua lazima una jipya
 
Back
Top Bottom